Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
Hivi ni wewe nimekusahau ujueNdugu nimekumiss
Hivi ni wewe nimekusahau ujueNdugu nimekumiss
Jamani Money Penny na Miss Natafuta nimewamiss sana, wale watakuwa Na ubuyu wote wa kinachotokea South Africa, nadhani huu Uzi una uhusiano na kinachoendelea huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu hiyo umesema wewe
Nimeweka picha yangu kabisaHivi ni wewe nimekusahau ujue
Naona umechoka kuweka za watu hahahNimeweka picha yangu kabisa
Wapo wanakujaJamani Money Penny na Miss Natafuta nimewamiss sana, wale watakuwa Na ubuyu wote wa kinachotokea South Africa, nadhani huu Uzi una uhusiano na kinachoendelea huko
Naomba negativeNimeweka picha yangu kabisa
Nimechokaa ndio. Nimewawekea wasipate shida kuanza kuguess mzigua anafananajeNaona umechoka kuweka za watu hahah
kweli kabisauna watoto wachache sana
[emoji16][emoji23]wazaramo wanasema "" Hondo Hondo mlezi wawana"....
Nimechokaa ndio. Nimewawekea wasipate shida kuanza kuguess mzigua anafananaje
Sitashangaa kusikia hajawahi kumtoa mtu bikiraHata Mi Namshaangaaga Sana Huyu Bwana Mdogo, Kwa Levels Alizofikia, Na Muamala Unavyosoma Benki, Sio Wa Kuchukua Mitumba Kabisa Huyu, Yaani Namuangaliagaa, Nasema Ningekua Mimi Huyu? Hiiiiiiiiiii! ( Kwa Sauti Ya Mkulu)
Kabisa! Anashindwa Hata Na Mwalimu AYUBUSitashangaa kusikia hajawahi kumtoa mtu bikira
UmetishaaaaaaKabisa! Anashindwa Hata Na Mwalimu AYUBU