Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Pichani hapa chini ni tofauti kati ya magari ya kubebea wagonjwa, moja landcruiser limetolewa na Mbunge wa jimbo la Mtama, ndugu Nape Mnauye huku la chini likitolewa na Mbunge wa Arusha na ndugu Godbless Lema.
kwanza, gari lililotolewa na Nape lina ubora wa hali ya juu pia hakuona haja ya kuweka matangazo kuwa yeye ndiye mtoaji, kalikabidhi gari hilo kwa halmashauri ya Lindi na limewekwa chapa ya hospitali..yaani ni mali ya hospitali. Upande wa pili msaada umekaa 'kijanja' 'kijanja' yaani kaweka majina yake ubavuni na ni dhahiri akikosa ubunge na gari anaondoka nalo.
Ni dhahiri matumizi ya pesa za mfuko huko Arusha si sawia.