Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa

Wanaume wanaopenda vimodal wengi wao ni wasomi wenye IQ kubwa na wapo updated(siyo washamba) wale wanaopenda vibonge ni wale wa uswahili uswahili.
Hivi kwani definition ya IQ ndogo kipimo chake ni kuishi uswahilini? Unajua maana ya IQ kweli wewe, we kweli hamnazo kabisa!
 
kwa kuongezea hasa vimbaumbau Ni
wabishi Na wanahasira Sana, kabla ya ndoa nilishawahi kuwa Na vimbaumbau Kama sits hiv lkn kila niliye jaribu Ni wajuaj Sana Na wanahasira, ILA kwa mikunjo Ni watamu xna.
 
Jiulize kwanini wanawake wembamba ndo wanaongoza kwa gubu mtaani, ni viherehere mwanzo mwisho, mi nazani ni tatizo la kisaikolojia huwapata wakikonda, Mara chache kwa mwanamke Mwenye shape yake kuwa na gubu, watu hawa ni wapole kama tembo labda uzingue mwenyewe
Tabia ndo inamfanya mtu awe mwembana,maake maisha yake yanakuwa ya chuki,ko chuki inakula chakula chote xo haishi kwa furaha na kuwa na afya
 
Mimi na majimama, majimama na mimi. Unalibinua halafu ukilipiga kikofi cha mtako, mawimbi hayooo yanatimbwilikaaaa...Halafu likikupa lap dance unapata shoo ya kufa mtu. Vimbaumbau halafu unakuta kiko flat kama kinaendesha malori mh....
Amakweli wewe ni SHIMBA YA BUYENZE
 
Hivi kwani nyama zao ni supu au? Kama hivo basi vimbaumbau supu yao ni ya Mifupa!..swala la halafu halipo kwa wanene inategemea na Usafi wa mtu mwenyewe! Kiufupi kumiriki mwanamke mwenye shape c kazi mdogo, na si kila mtu anauwezo huo, mwanamke mnene ni sawa na Gari engine six cylinder! Huwezi miriki kama mzembe, utabaki kumiriki vi baby worker kama passo na Porte, hizi Fiati waachie waarabu.
una minyama uzembe wako unajipa moyo tu. kuna post ulikua unatafuta mchumba naona ndo umepata bonge. easy and portable to carry ndo mpango mzma
 
Mwembamba alafu ukawa na kikalio amaizing,ni shida mtaani...kuna sifa moja ya mwanamke mwembamba hazeeki haraka,atapiga 60 kama matunzo mazuri bado yuko firm,tatizo la wanene ni uzeeni nyama zinaaanza kushuka lahaula Mungu tusaidie
Unene unazeesha hapo umenena ..... Unaweza kuta kibonge ukafikiri kimama kumbe miaka kumi na nane ...umemkute mwembamba ukafikiri miaka kumi na nane kumbe 20 something ....hiyo ndo raha yake
 
Mwanamke T*AKO.

Mwanamke akiwa mnene halafu msafi baaaas ndio kila kitu na ni watamu sana na unaweza kwenda round nyingi sanaaa. Na pia wengi hawana mabwawa.

Hata akiwa mwembamba kias lakini awe basi na T*AKO laini.

Mwanamke T*ako bana.
 
Unene unazeesha hapo umenena ..... Unaweza kuta kibonge ukafikiri kimama kumbe miaka kumi na nane ...umemkute mwembamba ukafikiri miaka kumi na nane kumbe 20 something ....hiyo ndo raha yake
Mtu hata awe mwembamba kama chelewa, ukiona tu sura na komwe lilivyokomaa unajua hapa age imeenda
 
Back
Top Bottom