Tofali imara kwa ujenzi

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
SAKIMA ni mjasiriamali anaesambaza tofali na material ya ujenzi. Tofali ni imara wilayani ROMBO, tofali ni imara na zinafikishwa pahala husika kwa wakati bei zetu ni nzuri popote pale ukiona gari lililoandikwa SAKIMA TRUCK simamisha watakupa full information. Welcome all ni kwa rombo tu.
 
Tofali la nchi sita bei gani?

Limemwagiliwa siku ngapi?

Mfuko mmoja wa cement unatoa tofali ngapi?
 
Back
Top Bottom