Wadau habarin za w/end,naomba kujuzwa,kwa anayejua mitihan ya toefl hapa nchini tanzania inafanyika wapi na wapi? Ni mikoa gan wana centers zao? Michango yenu tafadhali,
usiwe mpumbavu,hii thread niliiweka kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko,mods akalihamishia huku,wewe unabwabwaja nn? Kama hujui kaa kimya, Mjinga wee!
Ongera kwa kujiandaa kufanya toefl kwa dar unajiregister tansao(golden tulip) na mtihani int sch of tanganyika.pia hata ukitaka sat but ielt nenda british council toefl $ 300.usisite kuuliza tena
Ongera kwa kujiandaa kufanya toefl kwa dar unajiregister tansao(golden tulip) na mtihani int sch of tanganyika.pia hata ukitaka sat but ielt nenda british council toefl $ 300.usisite kuuliza tena
...nafikiri Super amekusaidia. Kuhusu ni mtihani upi ufanye.....inategemea unaufanya kwa madhumuni gani. Kama ni requirement ya kujiunga na vyuo nje, watakuwa wamesema/specify wanataka nini...kama it is only english language test unaweza kufanya IELTS britishcouncil na ni cheap comparing to TOEFL. tembelea hapa kwa habari zaidi za IELTS Take an IELTS English exam with the British Council in Tanzania
Nenda Mlimani uliza Linguistics Department, then uliza Prof. Magway atakusaidia kwa hiyo issue yako. 2007 nilifanya Toefl Test kwake alikuwa anatoza 30,000/= TSH sijui kwa sasa.