Today's Parents

Today's Parents

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
418760_345092985579868_596861254_n.jpg
 
Angefanya mwanamke dunia nzima ingeshangaa
Sijapenda
 
charity begins at home, muanzishe mtoto mapeeeema
 
Unadhani huyu mtoto akikua atakuwa mtu wa namna gani?Labda tester wa pale TBL
 
Huyo mbaba atakuwa ni Shirima au Tarimo
 
Usibanie kipaji cha mtoto......huenda baadaye akawa testa wa TBL AU SBL
 
Huyo mangi ni kama anamwambia mangi mtoto,
Haya ndo maziwa yasiyotokana na mnyama ati, na ndio juice isiyotokana na matunda.
Ndio kitu inatufanya tutafute hela hapa mjini ati.
 
senseless yaani huyu dogo lazima aanze kufanya hii kitu mapema
 
It's the content that matters. Inawezekana ndani kuna maziwa au juice..

Hahahah Mkuu, nimeipenda sana post yako. The content ndio kila kitu sio? safi sana. kwa hyo jamaa hapo kaweka maji ya kunywa ya mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom