Hii thread iko irrelevant kwetu watanzania na isitoshe walio wengi hawamjuwi huyo mtu.:glasses-nerdy: Sisi tulikuwa na Nyerere, simba wa vita, Karume, Kambona, Mimi mwenyewe, wazazi wangu, na mashujaa wetu walio tangulia mbele ya haki katika vita ya Kagera na sehemu zingine katika kuikomboa Afrika. Hawa ndiyo wanaotuhusu, vingine hivi ni vya kulazimishana tu. Think of it. Yaani inakuwa kama mfano wa bongo fleva, tunawekewa vitu ili tuvibeze na kubatiza kuwa ni vyetu wakati si kweli tuna vitu vyetu wenyewe ambavyo ni vizuri zaidi. Inakeraaaaa:angry: