Today at SCOAN: Mahusiano

Today at SCOAN: Mahusiano

Hahahahah mbona waniumbua tena,najua nimetenda kosa nimeshatubu! Sisemi wanafake ila naona kama maigizo flan niombee nipate kuamini.

With time you will honey! Usiite matatizo ya watu maigizo though, tunachopaswa kufanya ni kumshukuru Mungu that it is not us.
 
Mungu ni Mungu hata kama ujaona amekutendea muujiza wowote,infact mengine uyatenda ili tutiwe nguvu katika kumtafuta, binafsi nimekuja kumsikia TB joshua mara baada ya kutoka nigeria.nilipo kuwa huko habari zake sio sana kama huku bongo,kwanza hata nigeria nzima ana kanisa moja tu, i hope power pf media imemueneza sana,nigeria kuna makanisa makubwa mengi zaidi ya hilo,ki ukweli watu wengi wana shida
 
Preta habari za siku. Ni humuhumu JF, ulikuwa wapi mbona sikuwa nikiona post zako?.....karibu nyumbani. Thando (Bhoke) yupo nyumbani pia...Nimemkaribisha na Mwita Maranya tuonane kabla sijaondoka Dar.
hivi hao SCOAN.......hawana branch Bongo.?....watu tunahitaji ukombozi wallah........
 
Siku za mwisho manabii wauongo watakuwa wengi sana tujighadhari kikubwa ninachoamini nikuwa imara kwenye imani yako kanisa sikitu, mhubiri si kitu bali moyo wako na jinsi gani unamsogelea Mungu wako wa imani itokayo rohoni nina uhakika tutaponyeka na tutatenda miujiza na wala si wanigeria
 
Imani inapaliliwa, inamwagiliziwa maji, inatiliwa mbolea kama mmea; sivyo husinyaa hata kufa.

Hata Yesu alitumia miujiza kama mbolea ya kukuza imani ya waisrael, mitume waliendelea (walipewa uwezo huo na Yesu coz aliona umuhimu) na Yesu ni yule yule jana na leo na milele.

Manabii wa uongo wapo lkn ukiwa na Roho Mtakatifu utawatambua!
 
Napata tabu na kitu hii. Njia ya kwa Mungu si nyepesi hivyo

Nani kasema ni nyepesi?
Mungu hajasema hatutakumbana na matatizo, lakini ameahidi kutuvusha.

Inatosha kumuamini Mungu na kutenda yale aliyotuagiza. Kwa wale imani zetu ambazo si thabiti sana, Emmanuel TV imetusaidia kuyaona matendo makuu ya Mungu hivyo kuboost imani zetu na kubadilisha mienendo yetu!
 
Mimi nilikuwepo Nigeria tarehe 26 October 2012 hadi 29 October 2012 na nilifanikiwa kuhudhuria Ibada mbili pale SCOAN i.e Saturday 27/10 na Sunday 27/10.Nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe nguvu ya Mungu inavyotenda kazi.Yanayoonekana katika Emmauel Tv ni kweli kabisa.Jumapili njema
 
Bora umekuja kutushuhudia wewe uliyeenda. My bro alienda pia, akaniletea sticker.
 
Mimi nilikuwepo Nigeria tarehe 26 October 2012 hadi 29 October 2012 na nilifanikiwa kuhudhuria Ibada mbili pale SCOAN i.e Saturday 27/10 na Sunday 27/10.Nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe nguvu ya Mungu inavyotenda kazi.Yanayoonekana katika Emmauel Tv ni kweli kabisa.Jumapili njema

dah! Kweli wewe ni zaidi ya aliyezunguka dunia nzima. I wish ningepata hii chance ningemshukuru Mungu sana.
 
Preta habari za siku. Ni humuhumu JF, ulikuwa wapi mbona sikuwa nikiona post zako?.....karibu nyumbani. Thando (Bhoke) yupo nyumbani pia...Nimemkaribisha na Mwita Maranya tuonane kabla sijaondoka Dar.

nipo wangu......mimi sitakuja nipo Yaeda kwa sasa.....ila Mwita Maranya ataniwakilisha........
 
Last edited by a moderator:
asante. Itabidi nifanye utaratibu wa kuipata maana najiskia vibaya sana kuikosa.

Mkuu nunua tu hizi dish zenye channels za free utapata ya TB. Joshua na nyingine za kumwaga. Mwombe fundi akusaidie ku tune hadi upate Emmanuel TV na uta enjoy.
 
Pastor & Mrs Ikechukwu Lukeman
Pastor anatoka kwenye idol worshipers' home, yeye akaokoka akaoa.
Mke alikuwa mkorofi sana, hafanyi chochote hata kupika; kifupi alikuwa kama baba wa nyumba.

Unyumba akanyimwa kwa miaka zaidi ya mitatu. Ikafikia muda wakatengana.

Wakaenda SCOAN last week, ndipo lipepo lililokuwa ndani ya mke likajitaja (spiritual husband) na kusema jinsi gani lilivyokuwa linajaribu kuharibu ndoa yao. Wamerudi leo, kushukuru Mungu.

Familia no 2, wao walikuwa wanaishi mbali mbali, wakawa wanawasiliama kwa skype muda wote. Mke baada ya kuchat na mumewe, akawa anajitosheleza kwa kumasterbate huku akiangalia porno. Ikamuaffect kiasi kwamba hata affection kwa mumewe, mumewe naye akaanza kumuona mkewe kama mtu wa kawaida tu. Hadi kufikia hatua ya kutaka kutalikiana.

Wamepata derivelance nao wako okay.

Kwanini nimeleta humu, situation hizo ni very common ktk maisha yetu; lkn wengi hatujui the root cause. Tusiache kumuomba Mungu.

Jumapili njema!

Dada hii nimeiona na nimeifuatilia kwa makini sana. Hii couple ya skype imenishtua sana kwani kuvua nguo ndani ya webcam ya kompyuta na kuanza ku masturbate hiyo siyo ndoa tena. Kuna mamb tunatakiwa tujifunze na kuwaeleza watoto wetu maana ya ndoa(Kuambatana) na siyo mmoja kukaa huku na mwingine kule kwani hapo tunampa mwanya devils kuwaunganisha kwa njia isiyo sahii kama waliyofanya hawa wana ndoa.

Couple ya mchungaji na mkewe ni mammbo yanayotokea katika ndoa nyingi. Unatakiwa u appreciate tu wanandoa ukiwaona mtaani na barabarani ila usiulize wakiwa home wanaishije kwani asilimia 90 ya ndoa ni vituko vitupu. Only God can fix the marriage problems na si vinginevyo hivyo tusichoke kuombea ndoa zetu
 
Kupitia Emmanuel tv nimefunguliwa mambo mengi sana walau naona mwanga kwenye maisha lakini star times wameiondoa.

imani inauwezo wa kuhamisha milima, maisha ni yako ukiamua AMINI na Mungu atakuokoa. SCOAN ndo mwisho wa matatizo yote! WIFE alikwenda akarudi na tuna testimony za kutosha
 
MVUMBUZI TB Joshua kanisaidia sana hasa spiritual growth yangu, sasa namjua shetani na tricks zake kuliko nyuma; na ukaribu na Mungu umeongezeka.

Shetani anajua nguvu ya familia kama kanisa la kwanza, na anajua akiliharibu hilo amemaliza, ndio maana there is a lot in mahusiano.
 
Last edited by a moderator:
imani inauwezo wa kuhamisha milima, maisha ni yako ukiamua AMINI na Mungu atakuokoa. SCOAN ndo mwisho wa matatizo yote! WIFE alikwenda akarudi na tuna testimony za kutosha

Amen to that!
 
ukweli ni kwamba mimi nilikuwa nigeria na sijapata kusikia sana habari za tb joshua,nadhani the power of media ie emmanuel tv imekuwa nguvu yake pekee,hata pale nigeria nzima kuna kanisa lake moja tu,binafsi naamini watu wengi wana shida,ila kwa nigeria kuna makanisa mengi makubwa zaidi ya tb joshua,
 
Nabii huwa hakubaliki kwao. Hata Yesu hakubaliki Israel kama anavyokubalika sehemu nyingi duniani.
 
Back
Top Bottom