Today at SCOAN: Mahusiano

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,470
Pastor & Mrs Ikechukwu Lukeman
Pastor anatoka kwenye idol worshipers' home, yeye akaokoka akaoa.
Mke alikuwa mkorofi sana, hafanyi chochote hata kupika; kifupi alikuwa kama baba wa nyumba.

Unyumba akanyimwa kwa miaka zaidi ya mitatu. Ikafikia muda wakatengana.

Wakaenda SCOAN last week, ndipo lipepo lililokuwa ndani ya mke likajitaja (spiritual husband) na kusema jinsi gani lilivyokuwa linajaribu kuharibu ndoa yao. Wamerudi leo, kushukuru Mungu.

Familia no 2, wao walikuwa wanaishi mbali mbali, wakawa wanawasiliama kwa skype muda wote. Mke baada ya kuchat na mumewe, akawa anajitosheleza kwa kumasterbate huku akiangalia porno. Ikamuaffect kiasi kwamba hata affection kwa mumewe, mumewe naye akaanza kumuona mkewe kama mtu wa kawaida tu. Hadi kufikia hatua ya kutaka kutalikiana.

Wamepata derivelance nao wako okay.

Kwanini nimeleta humu, situation hizo ni very common ktk maisha yetu; lkn wengi hatujui the root cause. Tusiache kumuomba Mungu.

Jumapili njema!
 
Hiyo ya mrs ikwechuku nimeiona ila nikaona ka usanii flan,kwani ni kosa mwanaume kuhudumia mwanae au hata kumpeleka shule ni jukumu lao wote wazazi kushirikiana ktk malezi kama walivyoshirikiana kumtengeneza! Sorry kwa kuuliza,bt are those things real?

Naona kama umechanganya na testimony nyingine. Watoto haikuwa issue bali ukorofi wa mwanamke.

Anyway, what are those things unazouliza kuwa real?
 
hivi hao SCOAN.......hawana branch Bongo.?....watu tunahitaji ukombozi wallah........

Hawana lkn, Mungu yupo kila sehemu. Check Emmanuel TV itabadilisha maisha yako, na utajua jinsi ya kumuabudu na kuomba.
 
jamani i miss this chanel cjui niipate vipi,kuna wakati waliiweka startimes wakaitoa tena. matatizo mengi ktk maisha twayaona ya kawaida ila yanahitaji ukombozi.
 
Aisee pole sana, sisi wa mikoani tulizoea madish tunapata kwa kuongeza kitovu.
 
Najaribu kufikiria lakini sipati jibu kama haya ni ya kweli. Lakini kama ilivyo jina langu inaweza kuwa ngumu mimi kuamini hayo ambayo TB Joshua huyafanya ili kuokoa watu wa Mungu wapate faraja na kuishi kwa amani.
 
Hizo testimony wanazotoa?

Ni rahisi kununua baadhi ya watu especially wa Nigeria wakatestify, lkn hadi wajapan, wamarekani, waTZ, waKorea, waPakistan ambao wengi wao hawajui hata kiingereza.

Mimi mwenyewe nimeguswa ingawa sijatia mguu Nigeria na wala sijatuma testimony yangu kwenye mtandao. I quit drinking n watching porno after praying together with them thru Emmanuel TV.
 
Ciello kama usingekuwa busy "kushuhudia uongo" jana na kuangalia live Saturday service ungemuona mmama aliyekuwa hawezi tembea wala kuinuka akaombewa na kutembea. Najua utasema that is easy to fake, hata nami ningesema; lkn yule mama alikuwa amejinyea kwenye seat ya gari walilomletea. Sasa kweli can you agree to get embarassed like that for money?

Last Sunday, again live service mdada akatoa mabonge ya damu fibroid wakati mass prayer inaendelea. Mifano ni mingi mno siwezi hata narrate hata 1/100000000
 
Last edited by a moderator:
kaunga,usemalo ni kweli kabisa,maisha ya wengi yamebadilika kwa kuangalia hii emmanel TV!Yaani ukiangalia shuhuda zinazotolewa na watu mbalimbali,ndio utajua mahusiano yana makasheshe,yetu sie ni trela,picha kamili ziko kule mwe!barikiwe sana
Hawana lkn, Mungu yupo kila sehemu. Check Emmanuel TV itabadilisha maisha yako, na utajua jinsi ya kumuabudu na kuomba.
 
Mimi ninamuamini mungu aw TB Joshua, maana ni mungu Huyu Huyu tunayemuabudu sisi, kwa walewanaomkashifu hawana hoja basi ubishi na ujuaji wa kilimwengu. Naomba nenda Kwenye mbundu wowote aw TV waulize watakuelekeze bei ya manunuzi na installation u elfu hamsini tu. Mimi mwenye we nimejaribiwa Imani yangu na kufanikiwa, nimemuong mungu kupitia Huyu mtumishi. Kwa hapa dar ofiisi ndogo ya promoter anaitwa mama marha iko ground floor mkapa tower ingilia upande wa Maduka ya mariedo, Lilipokua duka la mavazi la teddz
 
kaunga,usemalo ni kweli kabisa,maisha ya wengi yamebadilika kwa kuangalia hii emmanel TV!Yaani ukiangalia shuhuda zinazotolewa na watu mbalimbali,ndio utajua mahusiano yana makasheshe,yetu sie ni trela,picha kamili ziko kule mwe!barikiwe sana

I can't agree more, yaani mpaka uone shida za watu ndipo utakapojua jinsi ya kumshukuru Mungu kwa tumitihani tudogo unatotupitia. Kuna majaribu ya kufa mtu aisee, shetani hajapumzika hata sekunde moja aisee!

Shida almost zote za mahusiano ni shetani ingawa Kongosho atasema tumezidi kumsingizia shetani.
 
Last edited by a moderator:
Kupitia Emmanuel tv nimefunguliwa mambo mengi sana walau naona mwanga kwenye maisha lakini star times wameiondoa.
 
Hahahahah mbona waniumbua tena,najua nimetenda kosa nimeshatubu! Sisemi wanafake ila naona kama maigizo flan niombee nipate kuamini.

Back
Top Bottom