Sugar wa ukweli hiyo picha yako ya utambulisho amewahi kunitumia demu mmoja toka Senegal akasema eti ni mkimbizi anahifadhiwa na kanisa la Christ the King na alihitaji msaada wa foreign partner wa ku withdraw pesa alizoachiwa na marehemu baba yake!Vipi mwenzangu yalikupata naweye pia nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.