Toa ushuhuda wowote ambao unadhani bila Mungu usingetoboa

Tufunze vizazi vyetu kumjua Sana Mungu na kuenenda kwa mapenzi yake!Mtu anayekosa hofu ya Mungu Kama huyu ni zao la malezi mabovu yaliyokosa muongozo wa masuala ya kiroho, mtu wa namna hii ni tishio kwa jamii inayomzunguka,anaweza zua taharuki muda wowote
 
Sawa

Mungu yupi!?
 
Zingatia hiyo at 40s,
Utasema Mariposa alinambia japo kimoyo moyo,

Wewe endelea kutafuta pesa mbona ukizipata na nyeto utaacha tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…