JOGOO JINA
Member
- Nov 6, 2012
- 44
- 3
View attachment 88668
hivi unahisi kitu gani hapa?
Anaelekea nyumbani njiani amekutana na aidha mshikaji wake ama polisi mwenzake aliye katika mavazi ya kiraia wanateta jambo la faragha.
Niko tayari kutoa ushauri lakini mwambe ageuke kwanza niione sura yake, na Mtambuzi naye anataka kuiona ili kuitolea ufafanuzi wa kina hiyo sura inawakilisha watu wa aina ganiView attachment 88668
hivi unahisi kitu gani hapa?
Anapoke rushwa apo
View attachment 88668
hivi unahisi kitu gani hapa?
Askari nao ni binadamu kama binadamu wengine, kuliwa tunda ni kitu cha kawaida tu...
Yuko vema Kamanda hata suruali imemkaa vizuri
yuko vizuri
jamaa anataka kuidhalilisha serikali.
nimependa askari alivyo uniform imemkaa vizuri na ana mwili mzuri
Pozo a mkaka halijakaa kama mtoa rushwa; labda kama ni ya ngono...