Tegemeeni na mimi kubadili ID muda si mrefu kwani nimechoshwa na ban za kionevu na PM za kupigana biti.
Mmmmhh! Hakika kuna kazi humu Chit Chat!
Nimeshika ramani ya dunia, naitafuta nchi ya chit chat. Naombeni msaada ndugu zangu, je nchi hii inapakana na nchi zipi nyingine? Je iko kwenye latitude na longtude ngapi?
Msaada tafadhali.
Sometime watu wanabadili ili kujificha..sasa ukisema wajitangaze unawafanya warudi walikokimbia.. sometimea mtu huwa anawaambia wale alio karibu nao sana
Why running away Zion Daughter?
Sometime watu wanabadili ili kujificha..sasa ukisema wajitangaze unawafanya warudi walikokimbia.. sometimea mtu huwa anawaambia wale alio karibu nao sana