Toa sababu kwa nini Unacheat (Kusaliti)

Toa sababu kwa nini Unacheat (Kusaliti)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kuna msemo unasema kwa mwanaume kucheat ni Nature ila kwa mwanamke ni Tabia

Na ndio maana ata mfalme Suleiman licha ya kuwa na wake 700 bado hakurizika na akawachiti wake zake kwa masuria 300 (michepuko)

Swali " Sababu gani zinakufanya ucheat(uchepuke)?

Binafsi maumbo ya mademu wa siku hizi ni konyo asee naweza kutoka kupiga game now na wife 2 be ila nikaenda kumcheat kwa Husna kisa tu ana kalio kubwa kumzidi .
 
We unaweza ukala UGALI tu maisha yako yote??? Au kama ni MCHELE tu maisha yako yote???.

Hata kiafya madaktari wanasema sio nzuri, hawashauri kudumu na MENU aina moja tu kwa muda mrefu.[emoji53]
 
Kuna msemo unasema kwa mwanaume kucheat ni Nature ila kwa mwanamke ni Tabia

Na ndio maana ata mfalme Suleiman licha ya kuwa na wake 300 bado hakurizika na akawachiti wake zake kwa masuria 400 (michepuko)

Swali " Sababu gani zinakufanya ucheat(uchepuke)?

Binafsi maumbo ya mademu wa siku hizi ni konyo asee naweza kutoka kupiga game now na wife 2 be ila nikaenda kumcheat kwa Husna kisa tu ana kalio kubwa kumzidi .
Nasaliti kwa sababu kuu 4

1. Uzuri wa mwanamke kumzidi niliyenaye
2. Stress kwa yule niliyenaye kunitibua
3. Upweke wa muda mrefu. Kuwa mbali na baibe
4. Maumbile yangu Kama mwanaume
 
Kucheat a cheat mwanaume - anaambiwa rijalli, kidume na pongezi kibao, aki cheat mwanamke - malaya kicheche muuzaji mdangaji n.k. n.k.

Kucheat ni kucheat sababu za kucheat ni hizohizo kwa wanawake na wanaume.

Raha ya ku cheat usionekane au ufute ushahidi.

Ila ukikamatwa kwenye huba kama la Dadii, unaanzia wapi kucheat...

Yaani naimbiwa, ninogeshee, ninogeshee.... halafu ni mcheat Dadiii naanzia wapi.
 
Huwa anakupiga vingapi kwa siku?
 
Kuna msemo unasema kwa mwanaume kucheat ni Nature ila kwa mwanamke ni Tabia

Na ndio maana ata mfalme Suleiman licha ya kuwa na wake 300 bado hakurizika na akawachiti wake zake kwa masuria 400 (michepuko)

Swali " Sababu gani zinakufanya ucheat(uchepuke)?

Binafsi maumbo ya mademu wa siku hizi ni konyo asee naweza kutoka kupiga game now na wife 2 be ila nikaenda kumcheat kwa Husna kisa tu ana kalio kubwa kumzidi .
Kama hufahamu vizuri history ya mfalme Suleiman heri umeacha
Kuliko kuongea uongo
 
Idadi inatofautiana kulingana na siku ilivyo Hakuna formula kuwa kila siku ni 5 au kamoja tuu au 10.

Wewe huwa unapiga vingapi kwa siku??
Sijui ila njoo unihesabie mkuu K.matata
 
Back
Top Bottom