kitanda changu
1.Nalala
2.Nafanya kama meza wakati napasi nguo
3.Nafanyia mazoezi
Mazoezi yapi?
Hii inatakuwa michezo ya wewe na mpenziyo kufanya mazoezi ya kuingiziana viungo vitakatifu baina yenu.yale kama ya kujaza upepo kwa baiskeli
kumbeeeeeeeeeeeHii inatakuwa michezo ya wewe na mpenziyo kufanya mazoezi ya kuingiziana viungo vitakatifu baina yenu.
Kitanda kina mambo mengii jamani kinatunza siri zetu nyingii mi kitanda changu hukitumia kumpumzika nikiwa nimechoka pia usiku nikitaka kulala basiii
Je wewe kitanda chako wakitumia kufanya niniiii"!!""?????????
Pole.....