Toa sababu 2 au 3

Toa sababu 2 au 3

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,284
Kitanda kina mambo mengii jamani kinatunza siri zetu nyingii mi kitanda changu hukitumia kumpumzika nikiwa nimechoka pia usiku nikitaka kulala basiii

Je wewe kitanda chako wakitumia kufanya niniiii"!!""?????????
 
Aah jamani mbona kazi nyingine huzitaji?
 
Nakitumia kusomea vitabu na kuchati....
 
Me kitanda changu kinanisaidia kunifilisi tuuuuuuuu.
 
kitanda changu
1.Nalala
2.Nafanya kama meza wakati napasi nguo
3.Nafanyia mazoezi
 
Back
Top Bottom