nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,093
- 15,208
Wapishi walikuwa wanaandaa chakula katika usafi wa hali ya juu.
walikuwa na masihara ya maneno na kuongea chochote.
Jamaa alikuwa kabanwa na ushuzi,
Mpishi mwenzake alikuwa amepanga maandazi katika njia ya kuelekea choo.
Kwa nje alikuwa anapita mke wa mpishi ambaye alikuwa anakuja maeneo ya jikoni.
Ghafla akasikia sauti (ya mumewe) ...toa nijambe...mwenzake ...akajibu jambia humohumo........
Ghafla mke wa jamaa kwa nje akaangua kilio kilichowashtua humo ndani......:confused3: