TOA MTAZAMO WAKO KWA UPANDE WAKO

TOA MTAZAMO WAKO KWA UPANDE WAKO

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Kipi bora kwenye Mapenzi kupenda au kupendwa na kwa nini.........???
FB_IMG_1535538352768.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
bora anipende zaidi ila hata nkimzingua najua hawez kunikimbia
 
Akinipenda zaidi hali ya kuwa mimi sijampenda itakuwa rahisi sana mimi kumgeuza yeye mtumwa wangu maana najijua vile ninakuwaga ninapokuwaga na mtu nkisiyempenda, nakuwaga mnyama. Nikimpenda zaidi atanigeuza fala halafu mi sipendi kufanywa fala.... tupendane tu kwa manufaa yetu sote
 
Back
Top Bottom