Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,536
- 272,263
Masikini hawaliAI saga, picha haina maana yoyote, zaidi ya kuincourage umaskini
Hiyo dish kwa mazingira ya town unadhani itauzwa sh ngapi..?AI saga, picha haina maana yoyote, zaidi ya kuincourage umaskini
Kwanza tujue ni nani na nani, na ilikuwa ni lini
Chuma kimetoka shamba kinakamata ugali! Hapo imekosekana tu "nhunda"
Mlo wa Kingosha,hapo hakisalii kitu.
Mzalendo asiyekosa kasoro. Kasoro yake moja tu kukandamiza upinzani.
Chakula na mazingira haviendaniHiyo dish kwa mazingira ya town unadhani itauzwa sh ngapi..?
Mboga Saba
Mkuu Habari yakoKwanza tujue ni nani na nani, na ilikuwa ni lini
Ni aibu sana..
Na pia inakasirisha.
Siyo "POA" hata kidogo, kwa jinsi Tanzania hii ninavyoiona ikinajisiwa kiasi hiki. Katika uhai wangu wote sikutegemea kuwa Tanzania ingefikia kiwango hiki.Mkuu Habari yako