Toa Maoni Yako Hali ya Kisiasa Tanzania

Siasa za nchi hii kwa kiasi kikubwa zimetokea kutawaliwa na tamaa ya kujitajirisha kutokana na maslahi yatokanayo na kazi hiyo.Ndio maana basi mtu yeyote mwenye uwezo kifedha anatamani sana kuingia kwenye siasa akitumaini kuwa baada ya muda fulani atachuma zaidi ya alichowekeza.Kwa bahati mbaya sana siasa imebadilika toka Utumishi wa umma kuwa gulio la kutafutia vyeo na utajiri haramu.
 
Back
Top Bottom