Toa comment

Toa comment

Niliwahi kusikia kuwa hajaolewa. Inawezekana ikawa ni fatigue baada ya kubadidlisha badilisha aina tofauti tofauti za mijamaa!
 
nilimuonaga maeneo ya kinondoni akanisogelea tukawa tunasalimiana almanusra nizimie maana lile tabasamu na uso wake alivo kama yai lilio ungua, kakomaaaa kama dume la fisi
 
1.Asha is over 50, 2.Ana macho ya kichina(madogo), 3.mkorogo unachangia 4.Ni go getter(mchakarikaji) me like her.
 
Back
Top Bottom