Toa comment

karo laiti zao hizi aibu ukitaka kuchoka nenda kliniki
japo watoto wengine baba zao weusi lakini wamama
utajua tuuu wanatumia karo laiti yani mama kama mzung kitoto cheusi tiii
lool namshkuru allah hajanijalia kupenda mikorogo yaani mtu unakuwa
kama jinilahaula lakwata
 
asee lakini turudi nyuma
dada kakuwa hata hivyo anajitahidi kujimake otherwise
mmmmmmmmh balaa
 
Mama mtu mzima huyu, cjui umri wake lakini kama sio kujiupdate tayari angeshakuwa kibibi. Nampa pongezi kwa kuendlea kujiweka sokoni ktk mwonekano na utendaji.
 
ni zile za mwembechai nini make naye kwenye
maji ya bendera ya kijani naye inaelekea
alikunywa kidogo banaaa na babu si ndo alikuwa
mlinzi mkuu wao
 
Kama Michael Jackson vile..!!. Personally I hate mkorogo, samahani kama kuna watu nimewatouch.....
 
Back
Top Bottom