ub16
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 420
- 317
Mkuu hii ofcoz itasaidia kufilter tu maneno. Lakini nlivyomuelewa jamaa anataka iwe na uwezo wa kutambua yapi ni matusi, etc.. The best way mm nnayoiona ni kutumia neural networks (A.I) coz hata kwa kutumia php tunaweza kutengeneza neural networks zitakazotambua kama neno ni tusi au.
Nmesuggest neural networks kwa sababu maneno mengine ni matusi sawa lakini unakuta limeandikwa sio kwa nia ya kutukana. Mfano labda mtu anaandika quotes au anaandika mtandaoni report ya maneno yaliosemwa na mtu fln. So hapo hizo neural networks tutazitrain kuangalia kwanza neno kama ni tusi, pili iangalie neno limetumiwaje......
Kama tukitumia raw php na database, mfano kwenye table ya 'words' kukawa na column ya 'type' ambayo itachukua values za kuonyesha aina ya neno kama ni la kawaida au ni tusi. Hii itasaidia tu kukataza moja kwa moja matumizi ya hayo maneno yalio na values zinazoonesha ni tusi lkn system itashindwa kutambua neno limetumika katika muktadha upi
Kwenye hizo neural networks na recomend kutumia php. Japokua watu wanasema php isnt good for A.I lkn kwa hii project naona php itasaidia sana coz kuna matumizi ya database, and according to my experience php is good for database interaction. Kama vp tunaweza kutumia Python.
Kama mpo tayari tunaweza kufungua hii project github
Bringing an AK47 to a stick fight. That's one way to guarantee an unsuccessful project. You'll be pressed to find 10000 dirty words in Swahili however you mutate them. This is a simple as the solution suggested earlier, a dictionary, hamna need ya AI wala neural networks.
Always use the right tool for the job, and follow "KISS principle" - keep it simple, stupid.
Sent using Jamii Forums mobile app