To you my future hubby

haaahaahhaaa

u mase my day hapo mwisho.mweeeh

hlafu si uliwaambia hujui kiswahili wewe?
 
Nakupa 22.60% kwa maelezo yako ujaonesha umuhimu wakusimama katika maombi ili kumuombea huyo mtarajiwa mwanamke lazima utambue nafasi ya Mungu katika mahusiano na familia kwa ujumla.

Mwanamke usiposimama imara kumlilia Mungu kumlinda , kumtunza, kumfanikisha mumeo na kuwalinda uzao wenu ni bureee kabisa exepect vilio tu.
 


Mh!, mamie hebu fafanua kidogo hapa kwa wanaume warefu, halafu kuosha nae ndo nini?
 
Haters gonna hate
I can't write each and everything here
 
Mh!, mamie hebu fafanua kidogo hapa kwa wanaume warefu, halafu kuosha nae ndo nini?



ahahahhaah Nalendwa bwana! unajua wanawake weng sana tunavutika na wanaume warefu! sijui kila mtu ana sababu zake!tunahis ni wazuri sana kitandan,tunadhan tuko safe zaid! URONGO MTUPU!,,,,hyo kuosha nimetumia street lang,,,,namanisha kutoka nae unaonekana una mtu wa maana! yan sas hv mwanaume sio mrf wala mref wote sawa tu!
 
K
Kwasasa una umri gani? Nina kauzoefu kidogo, umri matters a lot....
 
Hahahahha


Madame S
Pole maana naona unacheka sana..! Vipi wewe ubavu wako ulishaupata?? Maana waisrael wanaamini ukiona mnasumbuana na mwenzio au kuachana ujue ulichukua ubavu wa mwenzio..!
 

Haha, kwa kweli wengi wetu ndo tunavyopenda hivyo na vizuri tujuzane. Lakini kweli unapotembea na mwanaume mrefu na kama amekamilika kwenye Idara zote unajisikia vizuri bwana labda kwenye mambo mengine kama unavyosema.

Wenyewe wanakwambia Tall, Dark and Handsome...lol
 

Yan km ulikuw kichwan mwangu vile....bint miss kajicontradict san........handsomeness and beatiness always fades as one ages......pia ndoa ina changamoto nyingi na ngumu kuliko hata changamoto ya kibamia.....mana unaweza kuolewa na kibamia na ukawa unafika orgasm vzr tuu
 
Ugonjwa wangu Tall dark handsome
 


hhahhah ni mbwembwe tu hizo shoga kuiga umagharibi! mie nimeshkua thou its too late!...mie nadhan men smart(in &out) ndo anamatter zaid mengn ni UTOTO TU!mxiew
 
Pole maana naona unacheka sana..! Vipi wewe ubavu wako ulishaupata?? Maana waisrael wanaamini ukiona mnasumbuana na mwenzio au kuachana ujue ulichukua ubavu wa mwenzio..!
Mmmmh sidhani ya hao waisrael

Me wangu upo mkuu



Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…