Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
Hodi mlangoni wana JF naomba kuingia jamvini,
nafikiri mmeshanikaribisha naanza kwanza na Salaam kisha nasema Hon. Zitto ni mwana mapinduzi halisi asiyejua kuutumia uanamapinduzi wake is like un-guided missile. Mkiniomba kufafanua nitafafanua.
Mbona kwenye avatar yako kuna mtu kashika bunduki??
oka, karibu JF
Fafanua basi maneno yako! ila please fafanua bila ushabiki, ushabiki huwafanya watu kuwa vipofu!
karibu