HA HA HA HA!I have lots of things running in my damn head!
Today is my wife's birthday, see what? Thanks to my Nokia phone reminder alarm, my wife believes I value her in such a way that I never forget her birthday, her special day!!!- She has forgotten (you what i mean?) mabaya yote niliyomtendea. Hapo ndipo napoangukia sasa kama umenielewa.... TRUST EACH OTHER! Wives Must trust their husbands and vise versa!
Hivi tunaongelea nini hapa?
Happy birthday mama matesha! Wote semeni Amina Haleluya!
Spend some cash in a safari to Ruaha national park.....a week away, if yu no what I mean!you spend some money,DOING WHAT DUDE...!beers?lottery?
You are violating your own rule young brother!Habari zenu wakuu,wapwaaaz,mabinamuuz,infidelators na infidelees wooote!
leo nipo ki-ndoa zaidi...!na nitaomba kingereza kichukue barabara yake.
HA HA HA HA!
kingredha zaidi hata kama ni cha Engeneers' Registration Board (ERB)...!
hongera kwa birthdate ya wife ako.....!
nina birthdates tatu za marafiki zangu leo
I tried this one! thank God my marriage is still existing! I was charged for OVERSPENDING!! Its only woman who understands woman!101) Propose a safari ( a week off maybe).......yeah!! spend money, that how you will get the intimacy back to line!..SPEND SOME FORTUNE!!! (judge if it is worth it!)
noted sana!
at least to change the locations na mazingira au sio?
Kwa kiswahili: Hawa kina mama hawatabiriki. Waweza mfanyia we unachosema suprise suprise yeye anatransleti tofauti. Kuna mwanamke mwingine kuliko umpeleke MIKUMI kurefresh mind na kuinjoi life, ni heri hiyo hela uipeleke Mapinga ukajenge mabanda ya kuku.hey hey hey hey!
elaborate hapa kidogo bana!
loud and clear!kwa kiswahili: Hawa kina mama hawatabiriki. Waweza mfanyia we unachosema suprise suprise yeye anatransleti tofauti. Kuna mwanamke mwingine kuliko umpeleke mikumi kurefresh mind na kuinjoi life, ni heri hiyo hela uipeleke mapinga ukajenge mabanda ya kuku.
Hawana principle moja hawa. Usije ukafikiri ulivyomfanyia bht akafurahi ukimfanyoa na charity atafurahi. Utalost vibaya. Cha msingi angalia interests zake ziko wapi then ukomalie hapo hapo. Hapo mzee utafanikiwa. Kama mimi wife wangu nikitaka kwenye tabenako panoge basi nimwambie nimetoka shamba nimenunua kuku wengine 20 nimepanda migomba 10 na michungwa kadhaa.
sijui umenisoma hapo? sasa turudi kwenye kingereza.
...WAIT,hold on,wait de-novrino...!adui mkubwa wa intimacy ni kudhania mwenzao ana-infidelitize aisee!!!! Maana hiyo ikikaa kichwa basi performance inakua imekwisha kazi si kwa mwanaume au mwanamke
Mwanaume ndio anapaswa kuhisi mkewe ni infidelee, mwanamke anapaswa kutambua na kukubali kuwa mmewe ni infidelator!!...WAIT,hold on,wait de-novrino...!
ishu hapa NI KUDHANI/KUHISI kuwa mwenzio ni infidelator/infideletee AU SIO?....
Yes, maana ukishajua nadhani intimacy inakwenda na maji moja kwa moja...WAIT,hold on,wait de-novrino...!
ishu hapa NI KUDHANI/KUHISI kuwa mwenzio ni infidelator/infideletee AU SIO?....
Umeshawahi kuwa vyote mkuu???adui mkubwa wa intimacy ni kudhania mwenzao ana-infidelitize aisee!!!! Maana hiyo ikikaa kichwa basi performance inakua imekwisha kazi si kwa mwanaume au mwanamke
Yes, maana ukishajua nadhani intimacy inakwenda na maji moja kwa moja
Ukihisi bado mnabaki pamoja lakini relationship inapoteza uhai taratibu
:doh::doh:adui mkubwa wa intimacy ni kudhania mwenzao ana-infidelitize aisee!!!! Maana hiyo ikikaa kichwa basi performance inakua imekwisha kazi si kwa mwanaume au mwanamke
:nono::nono:Umeshawahi kuwa vyote mkuu???
Kwa kiswahili: Hawa kina mama hawatabiriki. Waweza mfanyia we unachosema suprise suprise yeye anatransleti tofauti. Kuna mwanamke mwingine kuliko umpeleke MIKUMI kurefresh mind na kuinjoi life, ni heri hiyo hela uipeleke Mapinga ukajenge mabanda ya kuku.
Hawana principle moja hawa. Usije ukafikiri ulivyomfanyia bht akafurahi ukimfanyoa na charity atafurahi. Utalost vibaya. Cha msingi angalia interests zake ziko wapi then ukomalie hapo hapo. Hapo mzee utafanikiwa. Kama mimi wife wangu nikitaka kwenye tabenako panoge basi nimwambie nimetoka shamba nimenunua kuku wengine 20 nimepanda migomba 10 na michungwa kadhaa.
Sijui umenisoma hapo? Sasa turudi kwenye kingereza.