Nitakujibu nikirudmkuu inamaana uendelee kumuadhibu huyu mtoto kwa kukulia kijijini?
Wewe Ni single maza? Au?Na nyinyi wanaume muangalie ni hali gani unayompa mwenzako unapomwambia achague ndoa au mtoto wake, nani asiyetaka kuolewa?
Mi hapana bora nibaki mwenyewe tuThank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
Kila mtuu akipambana na hali yake, ligi itakua haina mshindi hii.
Wapo wengi tu ambao wanachukulia kukutana na wanaume wenye watoto kama ni Baraka kutoka kwa Mungu kukupa familia ready made.Kama Nanyie Wanawake Ambao Hamjazaa HamMko Tayari Kuishi Na Wanaume Wenye Watoto Basi Nasiye Wanaume Tunakuwa Hvyo Hvyo
Wanaume huwa hatukatai watoto shida ni pale mtoto anapokuwa daraja baba yake kuingilia ndoa yangu..!Ni pale unapokutana na mwanaume unamweleza kuwa una mtoto, mwanaume anasema amekupenda lakini hayuko tayari kuishi na mtoto asiye wake. Kwakuwa unahitaji ndoa unampeleka mtoto kwa wazazi wako aishi huko.
Umeolewa na umefanikiwa kupata watoto, wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini, wenzake wanamuona wa bush, wewe unajisikiaje ukiwa kama ndiye binadamu uliyemleta huyu kiumbe duniani?
Sasa kama umeshaolewa... unakuwaje tena single mother??Ni pale unapokutana na mwanaume unamweleza kuwa una mtoto, mwanaume anasema amekupenda lakini hayuko tayari kuishi na mtoto asiye wake. Kwakuwa unahitaji ndoa unampeleka mtoto kwa wazazi wako aishi huko.
Umeolewa na umefanikiwa kupata watoto, wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini, wenzake wanamuona wa bush, wewe unajisikiaje ukiwa kama ndiye binadamu uliyemleta huyu kiumbe duniani?
Ninadhani hii iwekwe wazi kuanzia mwanzo wa mahusiano, unamwambia mwanamke nitakaa na mtoto lakini baba yake asiwe involved. Na aelezwe sasa hivi, ninaho mifano baba anaambiwa kabisa nimeamua kuwa na maisha yangu na mtoto atakutafuta akikua.Wanaume huwa hatukatai watoto shida ni pale mtoto anapokuwa daraja baba yake kuingilia ndoa yangu..!
Na kwa akili zenu wamama zilivyokiduchu huwa hamkomi na viherehere vyenu kurudi misri..!