Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
utafiti acha ujanja ujanja wako hapa wa sungura, toka lini miss chagga akawa mwanao? Nimekushtukia jombaa
ananibania ..miss chagga....
utafiti acha ujanja ujanja wako hapa wa sungura, toka lini miss chagga akawa mwanao? Nimekushtukia jombaa
haya bana ila ujue mie mkweo cc: miss chagga
Wewe nani? Hakuna kitu kama hicho
Tyta na Mokoyoni wakwe zako, sasa ndio huyo binti yako miss chagga achague wa kukuletea kwa utambulisho nyumbani
Kwenye suala la maisha yake huwa simlazimishagi. Ila kuna vigezo lazima uwenavyo
Tyta hii picha ndo nani?
Wewe nani? Hakuna kitu kama hicho
baba unamwona anavyonifanyia na ndo amenifany nisimtake kabisa
baba mwanao hata sina sura nzuri ila wananitaka wanaume.... baba sijui wnataka nini kwangu?
Mwanangu mimi nakujua vizuri, kwa style hii inabidi ninunue bastola, kila atakae anzisha story zisizoeleweka namalizana nae
baba mwanao hata sina sura nzuri ila wananitaka wanaume.... baba sijui wnataka nini kwangu?
Mwanangu unajua kwanini nimekupa jina la "miss"? Ni miss kweli tena miss world