NIMEKUELEWA VIZURI sana hapo sipiyuu....!
swali langu la msingi sasa:
IF I LOVE SOMEONE.....AND NOT FEEL LOVED BY HIME/HER (certainly he/she doesn't love me), yet I HAVE DONE ENOUGH TO PROVE MY LOVE TO HIME/HER WITHOUT HIM/HER SHOW/LOVE ME BACK(i gave somebody my love,my body,my soul,my trust lakini yeye hata hajali kabisa).....!what do i do?
a)keep on going through the hell?
b)give up?
c)none of the above?
Extension Kebo
Kuna tatizo moja hapa naliona.
Binadamu wengi siku hizi tunachukulia upendo kama ni kitu ADIMU SANA/ANASA SANA kiasi kwamba ni wachache sana, au baadhi ya watu tu ndio hustahili kupata UPENDO.
Hebu jiulize nafsini; " . . . Je, nimejijengea tabia ya kuonyesha UPENDO WA KWELI kwa mtu yeyote pasipo kujali alivyo?"
Bila shaka nafsini utajijibu HAPANA.
Sasa jiongeleshe nafsini; " . . . kama ni HAPANA, basi hapa nitaonekana UPENDO WANGU ni wa gharama, lazima ulipiwe (PAY BACK), Je hii ni sawa? Je, na imani yangu inanifundishaje kuhusu UPENDO?"
"Je haya maneno "" . . . .
''..Ninalindwa kuliko wakuu wa Dunia ..Upendo Wa Yesu Wanizunguka!..'' nayaelewa vizuri, hasa huo upendo wa Yesu?. Je nilimlipa nini Yesu alipokufa kwa ajiri ya dhambi zangu???"
Hitimisho:
Kuonyesha mapenzi/upendo ni kujitolea, sio ajira.
Kupenda/kuonyesha upendo yapaswa iwe sehemu ya MAHITAJI yako ktk maisha na wala si majukumu ya kutegemea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi (nisome vizuri sana hapa). Huo ndio upendo halisi.
PENDA PASIPO KIKOMO WALA MALIPO!!!!