To KUB Mh. Mbowe

Kha... Waziri mkuu anaulizwa kuhusu soko la himo?? nani huyo kilaza?>?
 
Hivyo mtu hapati shida za binafsi? Anaumwa ama kuna dharura imemzuia kuwepo leo.

Aisee, nafuu wewe umeliona hilo........
Kwani wao ni mashine? Hawana dharula? Au kwasababu wanalipwa hizo posho basi hamna kuugua? Hamna shughuli zingine za dharula za kufanya? Kwamba muda wote wawe hapo?
 
ukianza kutumia jinsia ktoa madaraka matokeo yake unatakiwa kuyapima kwa jinsia.
1+1=11 mnashangaa nini?si jinsia inafanya kazi au mlifikiri ni akili?
 
kweli imeniuma Tanzania hakuna upinzani, mnatukimbia hivi hivi? hakuna swali linaulizwa kuhusu maswala mhuhimu ya kitaifa? Bye bye CDM huu ni upuuzi tu Tanzania.
 
ngoja niwaulize ninyi mnaosema kuwa chadema leo walewaangusha...hivi mnategemea pinda aulizwe swali gumu atalijibu? mtu mwenyewe mnamuona hana muelekeo kabisa..hajui kwa nini ni waziri mkuu..hajui majukumu yake....itangu lini mtu akategemea pete ili ajib maswali?!!!! pale alipo hana lolote..wakti mwingine kumuuliza mtu huyu maswali ni kupoteza mda...
 
huyo bimkora much know inajifanya anajua kilakitu kinachoendelea nchi hii muache tu mpaka watu waanze kupigana kama kenya bungeni ndo atanyamaza
 
Napata hisia kuwa UPINZANI uona ni kupoteza muda na energy kumuuliza PM maswali kutokana na majibu yake ya aina moja kwa maswali yote..!

ivi mtu hanaga majibu zaidi ya ooh serikali ipo kwenye mchakato...... ooh tunalishugulikia...... ooh serikali italifuatilia...! na mambo ya kuita watu wajomba, shangazi na rafiki... wakati watu wako kazini.

Hahaha...dada yangu, ndugu yangu,......hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom