To KUB Mh. Mbowe

Ajabu
  1. Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bunge Hayupo wala msaidizi au aliyeteuliwa (maana J3 alkua Zitto) kwa kweli hawatutendei haki maana hii ni fursa adhimu
  2. Mpaka sasa hakuna swali kuhusu mgomo wa madaktari
  3. Karibu maswali yote spika anasema ni very specific
  4. Maswali ysiyo na mshiko yanaulizwa
  5. ...................kwamba bado kipindi hiki kipo......................hakina mshiko kwa watanzania
  6. Waziri Mkuu anasema mimi si waziri wa mambo ya ndani, mimi ni Waziri Mkuu........!!!! ameshindwa kujibu swali la machali.......najiuliza maana ya WAZIRI MKUU...najiuliza pia kwamba siku hizi hakuna VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI?
  7. ...ni kushangaa tu hiki kipindi....HAKINA MVUTO
 
Hivyo mtu hapati shida za binafsi? Anaumwa ama kuna dharura imemzuia kuwepo leo.
 
Kuna mazito kabisa nchi hii yanaendelea. Dr Mrema anamuuliza ujenzi wa soko la Himo.
 
Hawezi ku-delegate?? najua KUB akiuliza swali ni kwa niaba ya kambi nzima, thus KU hawakujipanga?? this is not fair I think
 
yani leo wapenda haki tumehujumiwa na mbowe na chadema na madam spika, maswali ya leo yamepangwa makusudi kupotosha umuhimu wa kipindi hiki
 
Ivi uyu madam spika ananini lakini?maswali anaulizwa waziri mkuu yeye anatetea eti swali liko specific. Mama ovyo sana. Mwache ajibu si kajitosa anajua kila kitu..mama ovyo sana
 
Mara nyigi watu hutumia vitu hivyo kupoteza/kupunguza hisia ya anachokisema. Kama unaona hisia zako zipo juu unaweza kushika kitu na kukiponya ponya huku unajibu au kuongea, hiyo inasaidia kupunguza imotions zako kuonekana dhahiri.
Unakumbuka toa machozi au kukaribia kulia!! Alikua na pete?
 
Tutakaa pamoja tuangalie namna gani ya kulisukuma hili kwa maana ya kupitia upya jambo hili! Hata mm linanikera sana!
 
aisee.... em endeleeni kutupa updates maana wengine hatuoni tuko mbali
 
Mama Spika anamsaidia kujibu karibu kila swali analoulizwa WM. Na maswali yenyewe leo hovyo kabisa.

Na jamaa (WM)ANATAMBA kweli maana yote ni upupu tu - wapi Hammad Rashid, wapi Tundu Lissu jamani - hata wewe Mdee!!!
 
Back
Top Bottom