Tn this life....

Sasa jamani umri huo hata kuongea hakawezi huo uchawi kaliutoa wapi?inasikitisha sana.
 
kiukweli unapotafakari sana mambo nyetu sisi wa afrika unaweza fika mahali ukamlaumu MUNGU kua kwanini aliamua kumuumba mwafrika na hakumpa kuuuthamini utu wa mwanadamu.kinacho sikitisha zaidi ni kua waafrika wengi wanaamini kua matatizo yote tuliyonayo sio makosa yetu sisi wenyewe.mfano mdogo tuu kiongozi mmoja wa inchi kufika mahali akaona kua katika nchi husika niyeye tu anayeweza kuongoza.hua napata shida sana kuelewa utetezi wowote juu ya hiii tabia ya viongozi wetu na ikiwa wanayafanya haya hadharani vipi hayo ya sirini?

hapo hapo utasikia eti kuna kitu kinaitwa umoja wa afrika,balaza la usalama la afrika na mengineyo,watu ambao hata tu kujenga majengo ya umoja wa afrika wanaomba msaada kutoka china,lini watakumbuka kujishughurisha na matatizo ya jamiii zao?.
 
Nisaidie link yake tafadhali
 
Walichoweza hawa viumbe ni kimoja tu 'thinking ahead or thinking beyond' kitu ambacho waafrika wengi tumenyimwa
Siyo kwamba tumenyimwa ila tumeshindwa kutambua umuhimu wake nakuiweka as part of everyday life since childhood. Which is very unfortunate with many Africans is that we work hard to bring each other down instead of supporting. Mtu akija na idea au akileta changamoto yenye kujenga tunatafuta kumkatisha tamaa badala yakumsupport. Imagine wote walioanzisha ideas zakutengeneza vyombo kama ndege, magari, meli nk wangekatishwa tamaa dunia ingekuwaje! There some people who were born to solve others' problems and challenges. We should let them make life easier for us!
 
Search,
Home PagePoliticsOpinionsSportsLocalNationalWorldBusinessTechLifestyleEntertainmentCrosswordsVideoPhotographyWashington Post LiveLive ChatsReal EstateCarsJobsWP BrandConnectClassifiedsPartners

washingtonpost.com1996-2016 The Washington PostTerms of ServicePrivacy PolicySubmissions and Discussion PolicyRSS Terms of ServiceAd Choices

Shocking photos of starving ‘witch’ toddler inspire massive donations

By Peter Holley
 

Nimeipata asante sana kwa msaada mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…