TMT ya Lwekaza fisadi anasoma risala!

Shalai Lai Lai Halilili Hai Lo! Hi Li Ba Lai Hey Hi Li Bai Lo! Hes gettin arab money.
 
tmt ndio nini? acha wivu na ukabira wahaya wakiiba kelele nyingi lakini si noma kwa wahindi =manghi, rostam patel wafadhili wakuu ccm na yanga!
 
Mkuu Ubungo Ubungo, kwanza asante kutuletea hii humu, jambo hii sio habari ya jukwaa la siasa!, niliwahi kumshauri mode, aanzishe jukwaa la udaku, ili watu wote humu wenye wivu wa kike, wakamalize hasira zao kule!.

Kwa wasio jua, ukijaaliwa kupata pesa, bila kujali umepiga dili gani, then hiyo pesa ukaitumia kufanya mambo mazuri kwa jamii, kama kukapa milioni 50 kale katoto jana pale ukumbini, kuibua vipaji kupitia TMT, kutoa ajira ya kudumu kwa ka Binti Lulu (hata kama pia kana hudumu), yote hiyo ni bringing back to the society as CSR, then Mungu, anasimama na wewe!.

Dawa sio kuleta maumbea humu yasiyo na kichwa wala miguu, dawa ni na wewe do all your efforts, get rich or die trying!.

Thanks.

Pasco.
 

Pasco katika kiwango chake bora kabisa cha uzalendo na uwajibikaji wenye urali wa sheria!!!
 
Last edited by a moderator:
Una uwezo mdogo wa kufikiri si kila pesa inatokana na EPA.
 

Mkuu PASCO niko na kaMCHINA nimeshindwa kukugongea lyk...Kiukweli cvyema kutetea wizi lkn anachofanya huyu Jamaa ameirudishia jamii kwa mlango mwingine tujiulize ni wangapi wanapiga kwenye nch hii na hakuna wanachorudisha sana sana wanapeleka visiwa vya JESSEY....
 
tatizo mleta taarifa ajaishibisha ameandika kiumbeumbea sio muwazi ataji majina kama watu walijitokeza kwenye tv huu ni upuuuuuuuuuuuuuuzi
 
tmt ndio nini? acha wivu na ukabira wahaya wakiiba kelele nyingi lakini si noma kwa wahindi =manghi, rostam patel wafadhili wakuu ccm na yanga!
hawa jamaa kesi zao ni mbichi tena zimenyooka, we subiri utaona.
 

Ukizungumza EPa fasta fasta majina kama jitu patel,farijala hussein na rajabu maranda yanakuja fasta kichwani.
 
ungeandika kama ulivyoandika hapo juu usingeulizwa maswali mengi
 
Usitake ncheke, waliwafanyia nini wazungu wa wanaoiba gold Geita? Mbwa kala mbwa sooo KUDO big boys in town. Thanks for the little you are sharing through TMT
 
Unafahamu, tangu BMT ianze, wametengeneza sh ngapi kutokana na airtime ambazo zimekuwa zikitumiwa na Watanzania kuchagua washindi/washindwa hadi wagawe za mifukoni?


 

Hawa madogo wamefanya mengi ya maendeleo kuliko wahindi waliokwapua na kuweka India na Canada, ijapokuwa wameiba lakini kuna unafuu kidogo zimerudi kwenye mzunguko kama za manji na Yanga. Sio za jitu Tapel kuingiza power tiller fake huku ameiba mzigo wetu, za balali kubwa la maadui sijui anazitumia nani huko kwao USA ,

Kwa hili la Balali ndio hasara ya uraia pacha , anakwapua anaweka ukimbizini.
 
tatizo mleta taarifa ajaishibisha ameandika kiumbeumbea sio muwazi ataji majina kama watu walijitokeza kwenye tv huu ni upuuuuuuuuuuuuuuzi

Mleta mada anasumburiwa na wivu na majungu. Kwanza hata jina kakosea badala ya kuandika Lukaza anaandika Lwekaza. Ktk kuonyesha alivyo na roho mbaya na chuki ana malizia kwa kusema eti wanafanana na Wanyarwanda! Mhaya akipata pesa maneno,kwanza Bilioni 2 nazo ni pesa za kupigiana kelele??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…