GE2025 TLS yaomba kukutana na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"

Mwabukusi ameacha ulevi? Maana umeharibu sauti yake kabisa. Pale mwanjelwa enzi zille akisikia nyimbo za bolingo anakata mauno huku kabambia muhudumu
 
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"

Samia alivyo na uchu wa kupitiliza wa madaraka hawezi kupokea ushauri mwingine zaidi ya ule kutoka kwa chawa wake na JK
 
Back
Top Bottom