GE2025 TLS yaomba kukutana na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,396
Reaction score
14,502
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"

Unaandika Kwa kukurupuka sana halafu hujui kuwa kuandika Kwa herufi kubwa sentensi nzima ni sawa na kuropoka?
hawajui hata hio OKTOBA wanatiki nini?
Je unatiki
.......... nchi kuuzwa,
.......... watu kubambikiziwa kesi za uhaini
.......... wananchi kuhamishwa maeneo yao ya asili ili kuwapisha waarabu
.......... wachache kujimilikisha utajiri wa nchi hii
.......... wachache kuwarithisha watoto wao madaraka
.......... zanzibar kuendelea kudhulumu rasilimali za bara
 
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"

Anayeombwa kasema yeye kiziwi. Anajua hana ridhaa na hawezi kuipata. Atakubali vipi lolote la haki huyo?

Option zero inaita.
 
WAAMNDIKE BARUA WAPELEKE YATAFANYIWA KAZI SIYO LAZIA KUKUTANA NA RAIS
Barua walishaandika lakini majibu hamna.TLS wanataka waonane Naye ana Kwa ana ili rais apewe makavu live bila kupepesa macho
 
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"
Asuburi uchaguzi chadema agombee uenyekiti, sasa chama chake kimechemka kususa uchaguzi, yeye anachukua nafasi ya mwenyekiti bila ridhaa yake.
 
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"

CHADEMA mnahangaika sana, tulieni dawa iwaingie si hamtaki mapendano nyie!
Kila siku mnatuma mtu mpya aongee maneno hayo hayo, kutoka Polepole, Gwajima, Sugu na sasa Mwabukusi. Tunawazoom tu, hamjasema bado mpaka tutiki tutashuhudia mengi😂😂😂
 
IMG_20240428_070927.jpg

Mahaini kwao korokoroni!
 
Kwa hofu na ulinzi anaolindwa wakati huu....wanajua wazi adui anao wengi..hawana Imani na raia yeyote...na kufanya hivyo wanahisi ni bonge la jaribu kwa vyombo vya ulinzi...wanataka wakaushe maji ili chura asiwe na maisha ...wapambane
 
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"

Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.

Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"

Kama katiba na Sheria zilizopo zitafuatwa uchaguzi utakua huru na haki.
 
Barua walishaandika lakini majibu hamna.TLS wanataka waonane Naye ana Kwa ana ili rais apewe makavu live bila kupepesa macho

Mkuu anajua reforms zikifanyika wizi utakuwa hamna na ucheo utakuwa umeota mbawa.

Anautaka ucheo hata kwa wizi, kuteka hata kupoteza.

Atakuwa tayari kujibu barua na hata kuonana na yeyote baada ya Oct 29.
 
Back
Top Bottom