EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Katiba bado inamatobo kwa kiasi chake, ufanyiwe tu reformEty katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Wewe umejaa utitiri na kunguni kichwaniEty katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Kweli kabisaKatiba bado inamatobo kwa kiasi chake, ufanyiwe tu reform
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.
Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.
Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.
Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.
Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.
Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".
Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Naona ubongo umeanza kumrudiaBaada ya watu kumponda huyo Hosea kwenye mitandao ya kijamii ndio kujitokeza. Aende mahakamani kupata tafsiri ya kisheria kuhusu huu uhuni unaondelea wa kuwazuia cdm kufanya mikutano, lakini mechi za mpira zinaendelea, na wanaccm wanafanya mikutano wakavyo.
Kaa kwa kutulia uone kama kuna kesi ya ugaidiHawa TLS wapuuzi Sana wameambiwa mbowe amekamatwa kwa kuandaa kongamano,kwani hawajui kuwa walk kamatwa kwa kongamano wameachiwa mbowe amekamatwa kwa ugaidi
USSR
Kwaio Katiba sio muhimu??Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Hii nchi haitawaliki kisheria, inatawaliwa kimabavu."Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.
Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.
Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.
Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.
Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.
Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".
Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wewe umejaa utitiri na kunguni kichwani
Wewe bwege kweli kweli, hawajasema hawaitambui Katiba iliyopo.Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Dogo umeshapata kazi ?Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Wanachafuka kimataifa wanaanza kujirudiHii nchi haitawaliki kisheria, inatawaliwa kimabavu.
Mtu unaweza uawa hivi hivi hadharani mbele ya camera na hawa hawa ccm halafu wakakupakazia ww ni gaidi
[emoji1756][emoji1756]Wewe bwege kweli kweli, hawajasema hawaitambui Katiba iliyopo.
Hatakiwi akemee, sisi huku mitandaoni na mitaani ndio tunatakiwa tukemee, yeye aende mahakamani kesho asubuhi akapate tafsiri ya kimahakama. Asiachiwe akemee huku mitandaoni maana yeye yuko kwenye nafasi sahihi ya kisheria kufuatilia hilo.Hatimaye wameanza kukemea