Tundu Antipas LisuNendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
kama huyo naye ni wa kijitonyama basi hii nchi itakuwa na kitengo duni sana !Kama sio hofu ya baashi Wabunge kumkomoa JK kwny Kinyang'nyiro cha Uspika 2015 Ndugai ilikuwa apigwe chini siku nyingi sana na nafasi hiyo apewe Binti huyu kitindamimba Nguli wa Kitengo cha Kijitonyama
Ilibidi Rais JPM ashauriwe ampe Ubunge wa kuteuliwa ili awe Naibu Spika
Ilipangwa akiteuliwa Tulia basi Wabunge waasi wampe kura Ole Medeye kutoka kwa Ndugu Lowassa
kama huyo naye ni wa kijitonyama basi hii nchi itakuwa na kitengo duni sana !
Inamkatazaje? Kwamba Makinda hakuwa Naibu Spika afu akawa Spika? Katiba ilikuwa haimkatazi?Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
Alinyooka jumla aliyemteua tulia.sisi tunapunga hewa kilaini.mmenyooka na hamuamini kama kafa.kudadadekiInamkatazaje? Kwamba Makinda hakuwa Naibu Spika afu akawa Spika? Katiba ilikuwa haimkatazi?
Sema hivi usiyempenda kaja,mtanyooka.
Dalili ya kukata tamaaAlinyooka jumla aliyemteua tulia.sisi tunapunga hewa kilaini.mmenyooka na hamuamini kama kafa.kudadadeki
Dalili ya kukata tamaa
WENDA mtoa mada anamanisha ,tusirushe mawe gizani ,wanasheria tunao wengi jf ,ACHA waje watusidieNendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.