TLS na wadau wengine wa sheria pingeni Tulia kuwania kiti Cha Spika

Kama sio hofu ya Wabunge kumkomoa JK kwny Kinyang'nyiro cha Uspika 2015 Ndugai ilikuwa apigwe chini siku nyingi sana na nafasi hiyo apewe Binti huyu kitindamimba wa Nguli wa Kitengo cha Kijitonyama

Ilibidi Rais JPM ashauriwe ampe Ubunge wa kuteuliwa ili awe Naibu Spika

Ilipangwa akiteuliwa Tulia basi Wabunge waasi wampe kura Ole Medeye kutoka kwa Ndugu Lowassa
Kwa wabunge hao wa CCM wapige Kura tofauti na wanavyoelekezwa! Thubutu yao
 
Hapa ndipo tunapomkumbuka Mchungaji Mtikila
Duh, aisee,,,,, bado hajatokea kama Mtikila. Mtanganyika na mpiganaji wa kipekee.
Mikoba yake ilikuwa mizito mno, maana hakuna mwanaharakati hata mmoja aliyethubutu kuvaa viatu vyake ama kuendeleza alipoishia.
Sikumbuki kama aliwahi kukimbia nchi kwa kuogopa maadui zake.
 
Tanzania raia wake,wali........na mzee,kwa kuasisi kile kibatali pendwa,ule Moshi umeganda kwenye medula oblangata zetu .na kila mwaka wanatufukiza,ili dozi isipungue .siku wakisitisha hii huduma ya koloboi ,akili zitarudi mahala pake .lile koloboi Moshi wake sio mchezo.
Wahuni sio watu wazuri.
 
Hakuna haja kwasababu mfuno unejaa miiba kila angle. Atapita tu ila Mubgu yupo kazini pia.
 
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!

Kwa East Afrika labda ingekua wanasheria wajuzi wa sheria wa Kenya hata student wa KSL angejipima kuchallange hii kitu ila sio bongo
 
Kama sio hofu ya Wabunge kumkomoa JK kwny Kinyang'nyiro cha Uspika 2015 Ndugai ilikuwa apigwe chini siku nyingi sana na nafasi hiyo apewe Binti huyu kitindamimba wa Nguli wa Kitengo cha Kijitonyama

Ilibidi Rais JPM ashauriwe ampe Ubunge wa kuteuliwa ili awe Naibu Spika

Ilipangwa akiteuliwa Tulia basi Wabunge waasi wampe kura Ole Medeye kutoka kwa Ndugu Lowassa
Unataka kusema tulia ni mtoto wa kornel apson mwangonda?
 
Jamaa anaishi ukimbizin huenda bundle limekata. Mpaka alpate allowance mwezi February
 
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
Naunga mkono hoja
 
Hili suala ni mtambuka halina itikadi, imani wala chama au vyama hivyo waTanzania kwa ujumla wao, makundi yao , wanachama ktk vyama vyao vya kisiasa ikiwemo CCM na vyama vingine vilivyosajiliwa bila kusahau vikundi vya kitaaluma, wasomi, wakulima , wavuvi, media radio/tv, mitandao ya kijamii n.k wapaze sauti kuhusu mhimili (Bunge) unaotakiwa kwa niaba yetu kuisimamia serikali ifanye wajibu wake vizuri usitekwe nyara na kikundi cha watu wachache.
Naunga mkono hoja. Ingawa bunge lenyewe hata bila Tulia ni patupu pale.
 
Tanzania raia wake,wali........na mzee,kwa kuasisi kile kibatali pendwa,ule Moshi umeganda kwenye medula oblangata zetu .na kila mwaka wanatufukiza,ili dozi isipungue .siku wakisitisha hii huduma ya koloboi ,akili zitarudi mahala pake .lile koloboi Moshi wake sio mchezo.
🤣🤣🤣🤣
 
Weka hiyo Katiba mkuu na vifungu la sivyo itabaki kama porojo tu. Samia keshasema Kila mtu Ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!

Acheni kuisoma Katiba na sheria zetu kama mnavyosoma novels!

Kweli Tulia hafai hata kidogo kuwa Speaker, lakini hakuna kitu chochote kwenye Katiba au sheria kinachomzuia yeye (kama Deputy Speaker) kugombea kiti cha Speaker. Kwa sababu objective ya wanasheria wenu ni kuganga njaa, acha walipeleke hili swala mahakamani ili watibu njaa zao huku wakichezea kichapo kama kawaida yao!
 
Alipaswa ajiuzulu nnafadi ya naibu spika Kwanza kabla ya kugombea usipika. Ni Kama mtu kuwa waziri, halafu kabla ya kujiuzulu hiyo nafasi anaenda kugombea usipika.
 
Kwani unahitaji shahada ya chuo kikuu kujua kwamba waziri yuko kwenye mhimili wa Executive na naibu speaker yuko kwenye mhimili wa Bunge?
 
Kuna Mahakama au zinafuata maelezo. Nenda south Africa au Kenya ukaone Mahakama.
 
Back
Top Bottom