TLS na wadau wengine wa sheria pingeni Tulia kuwania kiti Cha Spika

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,179
73,621
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
 
Tundu Antipas Lisu
 
Kama sio hofu ya Wabunge kumkomoa JK kwny Kinyang'nyiro cha Uspika 2015 Ndugai ilikuwa apigwe chini siku nyingi sana na nafasi hiyo apewe Binti huyu kitindamimba wa Nguli wa Kitengo cha Kijitonyama

Ilibidi Rais JPM ashauriwe ampe Ubunge wa kuteuliwa ili awe Naibu Spika

Ilipangwa akiteuliwa Tulia basi Wabunge waasi wampe kura Ole Medeye kutoka kwa Ndugu Lowassa
 
Kama sio hofu ya baashi Wabunge kumkomoa JK kwny Kinyang'nyiro cha Uspika 2015 Ndugai ilikuwa apigwe chini siku nyingi sana na nafasi hiyo apewe Binti huyu kitindamimba Nguli wa Kitengo cha Kijitonyama

Ilibidi Rais JPM ashauriwe ampe Ubunge wa kuteuliwa ili awe Naibu Spika

Ilipangwa akiteuliwa Tulia basi Wabunge waasi wampe kura Ole Medeye kutoka kwa Ndugu Lowassa
kama huyo naye ni wa kijitonyama basi hii nchi itakuwa na kitengo duni sana !
 
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
Inamkatazaje? Kwamba Makinda hakuwa Naibu Spika afu akawa Spika? Katiba ilikuwa haimkatazi?

Sema hivi usiyempenda kaja,mtanyooka.
 
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!

Hili suala ni mtambuka halina itikadi, imani wala chama au vyama hivyo waTanzania kwa ujumla wao, makundi yao , wanachama ktk vyama vyao vya kisiasa ikiwemo CCM na vyama vingine vilivyosajiliwa bila kusahau vikundi vya kitaaluma, wasomi, wakulima , wavuvi, media radio/tv, mitandao ya kijamii n.k wapaze sauti kuhusu mhimili (Bunge) unaotakiwa kwa niaba yetu kuisimamia serikali ifanye wajibu wake vizuri usitekwe nyara na kikundi cha watu wachache.
 
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on record kuwa Mahakama ilitoa maamuzi ya kishenzi.
Hosea nani alimpendekeza maana TLS umekufa bado kunuka tu!
WENDA mtoa mada anamanisha ,tusirushe mawe gizani ,wanasheria tunao wengi jf ,ACHA waje watusidie
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom