TLS na viongozi "Radical"


Shida yako uchama umekupiga upofu. Unadhani kuwa kiongozi ni lazima uwe Kibaraka wa serikali. Unaona ni dhambi mpinzani kuwa Rais wa TLS, shida Sana. Halafu juzi TLS wameipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata watuhimiwa wa ubakaji, ulikuwa wapi?
 
Nisingetegemea namna nyingine ya kusema. She is correct. Hata mimi nafanya kazi na wale ambao hawanipi challenges.
But, does it mean all? Viktor Frankl aliwakusema na ninanukuu
"Ultimately, man should not ask what the meaning of his life is, but rather must recognize that it is he who is asked. In a word, each man is questioned by life; and he can only answer to life by answering for his own life; to life he can only respond by being responsible"

Kila mtu siku moja atajibu mwenyewe maswali ambayo maisha yatamuuliza. Na mifano ipo. Mzee Mkapa ni mmoja wa mfano hai wa kutulia na kufikiri kwa makini maamuzi yetu tunayofanya tukiwa na dhamana ya uongozi. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Amen
 
Radicals ni wakina nani na wasio radicals ni wakina nani na waliisaidia nini TLS?
Au unadhani TLS ni kama CCM ambapo kila tamko la mwenyekiti mnaungana kuunga mkono kwa vifijo?
Hapa sasa unataka kuharibu hoja yangu mkuu. Chama ambacho wanafuata kila anachosema mwenyekiti kinafahamika ikiwemo kuwa mwenyekiti wa maisha yaani mfalme. Usinivute huko
 
Kwahiyo sasahivi wanapambana na serikali siyo🤔, ni mtazamo wako naheshimu mawazo ya mtu
 
Unataka wawe Chawa?
 
Mmezoea viomgozi wajinga wajinga wanaounga mkono ujinga wa ccm🤔.
Msije mkajaribu kumfanyia Rais wa TLS wa Sasa kama kama ya Tundu Lisu.
Hakuna rangi mtaacha ona.
Kwa Sasa kuweni wapole,hakuna namna washenzi nyie.makapi ya ccm.

TLS imeanza kujielewa Sasa na inatakiwa taratibu zibadirishwe ili ziendane na miaka mitano ya rais wa JMT.Maana ndo taa iliyobaki ya Watanganyika wanaodanganyika
 
KWa hio tukusaidieje?
 
Mkuu unataka kumtafuta snitch wa kurekodi movi ya uongo ili kumuua mzee Lwaka? Eti mtoa mada ameona kuwa TLS wanakosea kuendelea kufanya balancing pale serikali inapokosea...wauaji wana mbinu na rohoo mbaya sana kwa wananchi.
 
Kwa maneno marahisi unataka TLS ya makondoo. Nyie ndio mnaoamini serekali ni ya kunyenyekewa, hivyo ili upate ushirikiano wake unatakiwa ujipendekeze. Tumefika hapa kwa serekali kuona kutekeleza wajibu wake ni hisani, hivyo inatakiwa ujipendekeze ili ikufanyie hisani kwenye kutekeleza wajibu wake!
 
Umejizungushaa weee kwenye andiko lako, umekuja kujimaliza hapa na hili ndio ulilopanga kulisema, wengi tu mtatoka mapangoni, ndio kwanza ngoma imeanza 😃
Huyu ameondoka kuchokoza mada tuu, hayuko serious na alichoandi, hata Pascal naye huwa ni mchokoza mada kutengeneza mjadala. Ukweli anajua Nchi yeti ilivyoharibiwa na kudumazwa kimaendeleo na uchumi kwa sababu ya kulambalambana miguu. Tukiendelea hivyo tutazidi kudidimia.
 
Kunamengi sana mwaka huu yametokea.
Kunaanguko kuu lipo mahala
 
Nadhani kitu Pekee nchi zilizoendelea zimetupiga gap ni kuwa zilijitafuta na kujipata kipindi ambacho hakukuwa na mitandao, mambo mengi yalifanyika gizani, hakukuwa na “profesheno” bodies Kama hizi za caliber ya TLS n.k

Sisi kuanza kutafuta maendeleo kwenye hizi zama ndugu zangu tumepigwa. Na ubaya zaidi wanatutaka tu adopt zaidi vitu ambavyo Kwao vilikuja baada ya maendeleo kapatıkana, sisi wanataka viwe vipaumbele kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…