TLS na viongozi "Radical"

TLS na viongozi "Radical"

nadhani kuna tatizo katika tasnia nzima ya sheria, society inayoundwa na wasomi watupu inakuwa na viongozi kama fatma lissu mwambukusi naona kuna tatizo mahala, nilitegemea taasisi kama hiyo iongozwe na wasomi kisomi, nilitegemea kiwe chombo cha kuishauri serikali kuisaidia serikali badala yake kinakuwa cha kupambana na serikali

Shida yako uchama umekupiga upofu. Unadhani kuwa kiongozi ni lazima uwe Kibaraka wa serikali. Unaona ni dhambi mpinzani kuwa Rais wa TLS, shida Sana. Halafu juzi TLS wameipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata watuhimiwa wa ubakaji, ulikuwa wapi?
 

Nisingetegemea namna nyingine ya kusema. She is correct. Hata mimi nafanya kazi na wale ambao hawanipi challenges.
But, does it mean all? Viktor Frankl aliwakusema na ninanukuu
"Ultimately, man should not ask what the meaning of his life is, but rather must recognize that it is he who is asked. In a word, each man is questioned by life; and he can only answer to life by answering for his own life; to life he can only respond by being responsible"

Kila mtu siku moja atajibu mwenyewe maswali ambayo maisha yatamuuliza. Na mifano ipo. Mzee Mkapa ni mmoja wa mfano hai wa kutulia na kufikiri kwa makini maamuzi yetu tunayofanya tukiwa na dhamana ya uongozi. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani. Amen
 
Radicals ni wakina nani na wasio radicals ni wakina nani na waliisaidia nini TLS?
Au unadhani TLS ni kama CCM ambapo kila tamko la mwenyekiti mnaungana kuunga mkono kwa vifijo?
Hapa sasa unataka kuharibu hoja yangu mkuu. Chama ambacho wanafuata kila anachosema mwenyekiti kinafahamika ikiwemo kuwa mwenyekiti wa maisha yaani mfalme. Usinivute huko
 
nadhani kuna tatizo katika tasnia nzima ya sheria, society inayoundwa na wasomi watupu inakuwa na viongozi kama fatma lissu mwambukusi naona kuna tatizo mahala, nilitegemea taasisi kama hiyo iongozwe na wasomi kisomi, nilitegemea kiwe chombo cha kuishauri serikali kuisaidia serikali badala yake kinakuwa cha kupambana na serikali
Kwahiyo sasahivi wanapambana na serikali siyo🤔, ni mtazamo wako naheshimu mawazo ya mtu
 
nadhani kuna tatizo katika tasnia nzima ya sheria, society inayoundwa na wasomi watupu inakuwa na viongozi kama fatma lissu mwambukusi naona kuna tatizo mahala, nilitegemea taasisi kama hiyo iongozwe na wasomi kisomi, nilitegemea kiwe chombo cha kuishauri serikali kuisaidia serikali badala yake kinakuwa cha kupambana na serikali
Unataka wawe Chawa?
 
Mmezoea viomgozi wajinga wajinga wanaounga mkono ujinga wa ccm🤔.
Msije mkajaribu kumfanyia Rais wa TLS wa Sasa kama kama ya Tundu Lisu.
Hakuna rangi mtaacha ona.
Kwa Sasa kuweni wapole,hakuna namna washenzi nyie.makapi ya ccm.

TLS imeanza kujielewa Sasa na inatakiwa taratibu zibadirishwe ili ziendane na miaka mitano ya rais wa JMT.Maana ndo taa iliyobaki ya Watanganyika wanaodanganyika
 
Wote mnazunguka palepale tu, hiyo taasisi siasa za kutoka upinzani zinai-overrate sana ikiwa kiuhalisia haina impact yoyote
Akiwa anaefanya mashauriano na maelewano na serikali bado hakuna impact kwa mwananchi yoyote
Pia akiwepo radical hakuna impact yoyote kwa mwananchi

TLS is overrated
KWa hio tukusaidieje?
 
Mkuu unataka kumtafuta snitch wa kurekodi movi ya uongo ili kumuua mzee Lwaka? Eti mtoa mada ameona kuwa TLS wanakosea kuendelea kufanya balancing pale serikali inapokosea...wauaji wana mbinu na rohoo mbaya sana kwa wananchi.
 
Kuwa na viongozi wenye misimamo mikali ndani ya Tanganyika Law Society (TLS) kunaweza kuleta athari kadhaa mbaya kwa chama hicho, ingawa pia kuna faida. Hapa chini ni baadhi ya athari mbaya zinazoweza kutokea:

1. Mvutano na Serikali:
Viongozi wenye misimamo mikali mara nyingi hujihusisha na kukosoa serikali kwa nguvu. Hii inaweza kusababisha mvutano mkubwa kati ya TLS na serikali, na matokeo yake ni kupunguza ushirikiano muhimu kati ya taasisi hizo mbili. Serikali inaweza kujibu kwa kujaribu kudhibiti au kuingilia uhuru wa TLS, hali inayoweza kudhoofisha nafasi ya chama hicho kama chombo huru cha kisheria.

2. Kugawanyika kwa Wanachama:
Misimamo mikali ya viongozi inaweza kusababisha mgawanyiko ndani ya TLS yenyewe. Wanachama wanaoweza kuwa na mitazamo ya wastani au wanaopendelea mbinu za mazungumzo na serikali wanaweza kuhisi kutengwa, na hivyo kupunguza mshikamano wa ndani ya chama. Hali hii inaweza kudhoofisha ufanisi wa TLS katika kutekeleza majukumu yake kwa pamoja.

3. Kudhoofisha Uhusiano na Mahakama:
Mahusiano na mahakama yanaweza kuathirika vibaya kama TLS, chini ya uongozi wa radical, itaonekana kama adui badala ya mshirika wa mfumo wa mahakama. Viongozi kama hao ambao waliwahi kuwa wakosoaji wakali wa maamuzi ya mahakama, walisababisha mahakama kupunguza ushirikiano na TLS, na hivyo kuathiri uwezo wa chama kutoa msaada wa kisheria au kushiriki katika marekebisho ya sheria.

4. Kutengwa na Washirika wa Kiraia:
Misimamo mikali inaweza pia kusababisha TLS kutengwa na baadhi ya mashirika ya kiraia au washirika wa kimataifa ambao wanapendelea mbinu za maelewano. Wakati baadhi ya mashirika ya kiraia yanaweza kushirikiana na TLS katika harakati za haki za binadamu, mengine yanaweza kuogopa kushirikiana na chama kinachoonekana kuwa na misimamo mikali sana kwa hofu ya kugombana na serikali.

5. Kuwepo kwa Hatari ya Kukiuka Sheria:
Wakati mwingine, misimamo mikali inaweza kupelekea viongozi kuvuka mipaka na hata kuvunja sheria. Hii inaweza kuwaweka TLS na viongozi wake kwenye mgongano wa kisheria na serikali, hali inayoweza kudhoofisha uhalali wa TLS kama chombo cha sheria na kuleta madhara makubwa kwa sifa ya chama.

6. Hatari kwa Usalama wa Viongozi na Wanachama:
Viongozi wenye misimamo mikali wanaweza kujiweka katika hatari kubwa ya usalama wao binafsi. Hatari hii inaweza kuongezeka kwa wanachama wengine wa TLS ambao wanashirikiana na au wanamuunga mkono kiongozi mwenye misimamo mikali au wanampinga na hivyo kuathiri usalama wa wanachama wa TLS kwa ujumla.

Kuwa na viongozi wenye misimamo mikali ndani ya TLS kunaweza kuwa na madhara makubwa ikiwa misimamo hiyo haitasimamiwa kwa busara. Ni muhimu kwa TLS kuweka uwiano kati ya kutetea haki na kuepuka mvutano usio wa lazima ambao unaweza kudhoofisha uwezo wake wa kufanikisha malengo ya kisheria kwa ushirikiano na wadau wengine muhimu.
Kwa maneno marahisi unataka TLS ya makondoo. Nyie ndio mnaoamini serekali ni ya kunyenyekewa, hivyo ili upate ushirikiano wake unatakiwa ujipendekeze. Tumefika hapa kwa serekali kuona kutekeleza wajibu wake ni hisani, hivyo inatakiwa ujipendekeze ili ikufanyie hisani kwenye kutekeleza wajibu wake!
 
Umejizungushaa weee kwenye andiko lako, umekuja kujimaliza hapa na hili ndio ulilopanga kulisema, wengi tu mtatoka mapangoni, ndio kwanza ngoma imeanza 😃
Huyu ameondoka kuchokoza mada tuu, hayuko serious na alichoandi, hata Pascal naye huwa ni mchokoza mada kutengeneza mjadala. Ukweli anajua Nchi yeti ilivyoharibiwa na kudumazwa kimaendeleo na uchumi kwa sababu ya kulambalambana miguu. Tukiendelea hivyo tutazidi kudidimia.
 
Kunamengi sana mwaka huu yametokea.
Kunaanguko kuu lipo mahala
 
Huyu ameondoka kuchokoza mada tuu, hayuko serious na alichoandi, hata Pascal naye huwa ni mchokoza mada kutengeneza mjadala. Ukweli anajua Nchi yeti ilivyoharibiwa na kudumazwa kimaendeleo na uchumi kwa sababu ya kulambalambana miguu. Tukiendelea hivyo tutazidi kudidimia.
Nadhani kitu Pekee nchi zilizoendelea zimetupiga gap ni kuwa zilijitafuta na kujipata kipindi ambacho hakukuwa na mitandao, mambo mengi yalifanyika gizani, hakukuwa na “profesheno” bodies Kama hizi za caliber ya TLS n.k

Sisi kuanza kutafuta maendeleo kwenye hizi zama ndugu zangu tumepigwa. Na ubaya zaidi wanatutaka tu adopt zaidi vitu ambavyo Kwao vilikuja baada ya maendeleo kapatıkana, sisi wanataka viwe vipaumbele kwetu.
 
Back
Top Bottom