Ndugu yangu,Mwanaccm Mwenzangu,Rais wa Nigeria amekaaa muda gani nchi za nje kwa ajili ya maradhi yanayomsumbua??na katiba yao imesemaje juu ya huyo Rais??Je,huyo rais si zaidi ya huyo rais wa TLS tena hata mwaka hajamaliza??
Nadhani cha msingi ni kumuombea apone maana ni mtanzania mwenzetu,ni kama kaka yetu,baba yetu,mjomba wetu n.k na yaliyomkuta hata wewe yanaweza kukupata,hujui siku wala saa.