Tizama maandalizi ya UKUTA

Tizama maandalizi ya UKUTA

Nimefanya utafiti wa kuhoji watu wengi kama wanajua chochote kuhusu UKUTA, 96% hawana habari kuhusu tarehe 1 Sept na hawajui ukuta ni nini.

Hongera mkuu,long live my love!!

# Huu utafiti wako umeufanya kuanzia lini?? Umewahoji kina nani haswa? wazee,watoto,vijana??

# Unaposema watu wengi umemaanisha wangapi?? kwa idadi please.

# Unaposema 96% hawana habari tafasiri yake nini??

# Unaposema hawajui ukuta ni nini,Je uliwauliza nini??

# Huu utafiti umeufanya wapi/sehemu zipi??

Naomba majibu,Tafwadhali.
 
Daah! Wewe denoo49 yaani usiku huu, nimecheka kweli kwa jibu lako murua kwa yule wa utafiti, eti 'imeingia ubaridi ........'

Watu mna vipaji balaa yaani, hongera aisee!

Ahsante!
 
nisaidieni kufaham maana ya UKUTA

not kilaza anyway
 
Nimefanya utafiti wa kuhoji watu wengi kama wanajua chochote kuhusu UKUTA, 96% hawana habari kuhusu tarehe 1 Sept na hawajui ukuta ni nini.
Potea haraka sana humu....ulikuwa unawauliza kama Nani kama sio kujipendekeza..sasa kama Ni hivyo mnawasumbua nini Aksari Na mazoezi..Just wait 1 September
 
Huenda wengine wanaelewa ukuta kwa namna nyingine
Huwezi Vunja UKUTA Kabla ya kuushika 'Diwani wa Sombetini Arusha..Jamaa Ni Noumer sana..Ukimwangalia Jamaa jala hana wasiwasi..Ara Chugaaaa..1 September
 
Hongera mkuu,long live my love!!

# Huu utafiti wako umeufanya kuanzia lini?? Umewahoji kina nani haswa? wazee,watoto,vijana??

# Unaposema watu wengi umemaanisha wangapi?? kwa idadi please.

# Unaposema 96% hawana habari tafasiri yake nini??

# Unaposema hawajui ukuta ni nini,Je uliwauliza nini??

# Huu utafiti umeufanya wapi/sehemu zipi??

Naomba majibu,Tafwadhali.
Huyu atakuwa Ni mpendazoeee Na ID mpyaa
 
Unajua kiapo chao wewe au unasema tu! Fuata Sheria uwe salama!
Unaniudhi Wewe...Sijui VP..We Tuache unahangaikaa Na sisi why...Eti fuata sheriaa wanaovunja sheria huwaoni
 
Mtabisha but ukweli ni kwamba habari za ukuta mimi naziona humu humu jf tu. Mitaani watu hawana habari na ukuta na wala hawaujui
 
Tatizo hawa mabwege wanadhani mtaani hatujui kutumia silaha wala hatuna mafunzo ya martial arts...
 
Mtoa Roho mpya...

Huu Ukuta sipati picha pesa zishatumika kiasi gani.. kama sio mapato ya mwezi mzima wa August zitakuwa zimeelekezwa huko sasa Wapinzani ndio watausitisha kwa muda hadi August Pesa zingine tena zitaliwa hadi kuja kutahamaki Maendeleo zero Mishahara hailipiki kuajiliwa hakuajiliki.. Washauri wengine ni zero kuwakumbatia... Raisi afuate Utawla bora Maisha mbona Mepesi... kuliko kutengeneza Chuki kila kukicha...

Ila kwakuwa alitangaza Vita mwenyewe bora asitishe hiyo vita Nchi isonge...
 
Kwa mazoez hayo nitakua mstar wa mbele na nitaomba battle na mmoja nimuoneshe ubora wa mazoez yake.
 
Back
Top Bottom