Titizo la kuisha chaji mapema

Yaani quality kiaje mkuu?
Yaani simu nyingine ni za kufyatua kama za China etc..Ingawaje ni Samsung lakini haijatengenezwa na original manufacturer. Hivyo zitakusumbua tu hata ukibadilisha charge, cha msingi ni kununua simu ingine bora mkuu.
 
mkuu Mr Q
wewe huna matumizi ya simu, kitu kikubwa kabisa kwako kinachokula chaji ni standby na standby inamaanisha hutumii simu, ni ule muda ambao umezima kioo cha simu umeiacha tu, cha pili ni wifi siku zote wifi hula chaji kidogo compare na ukitumia data kawaida. kwenye list yako hakuna kitu kikubwa hata kimoja.
 
Mkuu smartphone yoyote ikijitaidi sana kukutunzia chaji ni masaa 8 tu apo ilikuwa fully charged

Mkuu..mimi nlikuwa na Xiaomi redmi note 3 pro ikijaa asubuh narudi usku saa 3 na asilimia kama 50 na hapo nmetumia simu sana calling,chatting na browsing so kusema smartphone yoyote ni masaa 8 skubalian na wewe.
 
na wewe eka screenshot, maneno matupu hayasaidii
Mkuu asante kwa misaada unayotupatia sisi wadau wako jana uliniambia nieke screen shot ya battery usage ilionyesha 1day 9hour na dakika 35 ndio battery ilikuwa fully charged iyo ilimaanisha siku moja na masaa 9 yaliyopita ndio battery ilikuwa fully charged inamaana masaa yalioendelea haikuwa fully charged ukiangalia vizur nisawa na siku mbili simu haikuwa fully charged jana nimeiweka kwenye charge since saa nne na dk 35 usiku hadi kufika saa 12 na dk 14 asubuhi charge ilifika asilimia 46 (46%)
Na akati kipindi cha nyuma nilikuwa na charge ndani ya masaa mawili tu done.

#chief_mkwawa
 
hio issue ya kuchelewa kujaa ni Tatizo la charger, ingia playstore search app inaitwa ampere, chaji simu then fungua hio app itakuonesha kiasi cha umeme kinachoingia. nisomee hizo namba au weka screenshot.
 
hio issue ya kuchelewa kujaa ni Tatizo la charger, ingia playstore search app inaitwa ampere, chaji simu then fungua hio app itakuonesha kiasi cha umeme kinachoingia. nisomee hizo namba au weka screenshot.
Sawa mkuu nitakupa mrejesho baadae kidogo
 
Hivi wakuu sumsung s6 edge kwa kawaida inaweza kudum na chaji kwa muda gani maana hii yangu nimechaji asubuhi kwa fast charger saa hiz ina 67% halafu nilizima data nimeanza kutumia sasa hivi
 
Mkuu tafuta fast charger...simu inajaa chini ya nusu saa!! Note 4 yangu ilikuwa na shida hiyo pia..toka nimebadilisha charger hakuna usumbufu..japo chaji inalika kama kawa!!
Iyo fast charging gani simu ijae chini ya nusu saa?

Adaptive Fast Charging ya Samsung average simu kujaa from 0% to 100% ni saa MOJA na dakika 12...
Sasa we iyo nusu saa vepee!
Halafu sio kila simu ina fast charging!
 
hyo yako ya kichina mzee,natumia j3 tokea saa12 asubuhi nakuja kuchage saa 6 usiku!
 
Yeah mkuu, hapo umenena vema, kimfano hata hii jf ukiitumia kwenye dark mode huwa chaji haisumbui, watu wengi wqnatumia display vibaya, unakuta mwanga wa dsply utadhani mtu kawasha tochi! Vibration kwenye touch pad na notifications! Na kingine kikubwa kuna app nyingine ambazo kwa wakati flan huhitaji kuzitumia lakini zipo kwenye cm na zinakula chaji, nenda setting, Disable app yeyote unayoona kwa muda flan hauhitaji kuitumia betri yako itaishi vzr. Mimi huwa sizimi data na ninatumia sim kuamzia asubui mpaka ninapoenda kulala mida ya 5 au 6 usiku"
 
Hivi wakuu sumsung s6 edge kwa kawaida inaweza kudum na chaji kwa muda gani maana hii yangu nimechaji asubuhi kwa fast charger saa hiz ina 67% halafu nilizima data nimeanza kutumia sasa hivi
mkuu hizi flagship zina nguvu sana, na zinakula chaji sana, wewe unataka nini? simu inayokaa na chaji? punguza nguvu ya simu automatic itakaa na chaji.

-nenda setting kaeke battery server on
-nenda setting then battery angalia apps zinazokula sana charge zitoe au disable kama hazina kazi
-eka app ya greenify ku hibernate app sumbufu
-mara kwa mara close app usizotumia kwa kubonyeza button ya chini kushoto inayoonesha app ulizofungua bila kuzifunga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…