Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Sio kweli.Samsung ndio walipo feli, kwenye chaji wajipange upya!
Sasa mkuu ndio umeongea nini?Sio kweli.
Me mbona nimetumia A8 now S7 hakuna matatizo hayo??
Tatizo kununua simi bila kuangalia specs...
Ukinunua simu nunua yenye betri kuanzia 3000mAh na kuendelea na uendelee kufurahia maisha.
Acha kununua simu za bei rahisi. Unanunua simu ya bei rahisi unakuja kulia betri?Sasa mkuu ndio umeongea nini?
Hawa jamaa kwenye betri wanazingua kwa matoleo mengi !
Sawa mkuu ngoja waje watumiaji wengine!Acha kununua simu za bei rahisi. Unanunua simu ya bei rahisi unakuja kulia betri?
Me nimetumia izo simu 2 na sijaona tatizo.
Nunua simu yenye betri kuanzia 3000
umetumia samsung ipi?Samsung ndio walipo feli, kwenye chaji wajipange upya!
nenda setting halafu battery hebu angalia nini inakula sana charge? eka screenshot au maelezo ya unachokiona.Wakuu wanajf habar zenu
Hope mko poa simu yangu ni samsung galaxy j3 (6) inatatizo la kuisha chaji mapema yaani inachelewa kujaa (fully charged) na inaisha mapema sana nimejaribu kubadir chaji nyingine lakini tatizo likopalepale wakuu msaada wenu please
Shedede
Iyo simu anatumia mshana jr ngoja aje atuelezeKuna simu zinaitwa infinix
Kwenye chaji sijapata ona ila inaweza isikidhi mahitaji kama ya kina mkwawa sijui mediatek(ambazo wanaona zina low performance) na nini nini huko ambayo kiujumla yanakunywa chaji na kumlazimisha mtumiaji kuchaj simu yake kila wakati au baada ya masaa machache
Mkuu nakubaliana na wewe yaani simu yangu imekuwa mbovu hatar naichaji kwanzia saa nne husiku kufika saa moja hasubuhi eti ndo chaji imefika asilimia 55Samsung ndio walipo feli, kwenye chaji wajipange upya!
Mkuu smartphone yoyote ikijitaidi sana kukutunzia chaji ni masaa 8 tu apo ilikuwa fully chargedYani acha tu. Ni ugonjwa wa wengi huu sio ww tu....Heb jaribu imagine smart phone inayo last a week without recharging.
Au zenye automatic solar charger.
Mkuu simu yangu ina mAh2600 lakini sasa ikiwa fully charged naitumia 5 hour betry low kabisa au matumiz yangu mabovu ?Sio kweli.
Me mbona nimetumia A8 now S7 hakuna matatizo hayo??
Tatizo kununua simi bila kuangalia specs...
Ukinunua simu nunua yenye betri kuanzia 3000mAh na kuendelea na uendelee kufurahia maisha.
Sawa mkuu ngoja nifanye hivonenda setting halafu battery hebu angalia nini inakula sana charge? eka screenshot au maelezo ya unachokiona.