Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,295
Walipitisha sheria kali marufuku kutengeneza meli kubwa tena kama ile kwa ajili ya abiria.
Wakuu heshima yenu...
Leo kwa bahati nimepata nafasi ya kurudia kuangalia hii filamu ya hii meli kubwa iliyozama enzi hizo. Mara ya kwanza niliangalia nikiwa mdogo kiumri! Sasa leo katika kuangalia nimekuwa na maswali machache ambapo ningeomba kusaidiwa majibu yake kwa wenye ufahamu wake. Maswali yenyewe ni
1.Je ni kweli hii meli ilizama kiuhalisia au ni story tu?
2.Je! Kipindi hicho hakukuwa na mawasiliano ya kuja kuokolewa?
3.Je ile Iceberg ilitokea vp katikati ya bahari?
4.Kama ni kweli ilizama ilikuwa miaka gani na watu wangapi walipoyeza maisha ba wangapi waliokolewa!?
5.Je hiyo meli ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi?!
Natambua maswali mengine naweza google but nataka majibu ya hapa ili wafaidike wengi hivyo kama hauna majibu kuwa msomaji tu usilete kejeli hapa na kama kuna mwingine mwenye maswali aongeze hapa ili tupate majibu.
Natanguliza shukranu zangu za dhati.
Jamanii... Swali Ambalo Halijajibiwa Na Ni Muhimu Ni Kwamba Ile ICE Ilijitengeneza Vipi Kule Baharini Na Kuwa Kama Mlima?
Sawa lkn captain alikua ni mzoefu ktk hiyo bahari kwa miaka 25 ata km ingekua speed vp bado hiyo bahari alikua anaifahamu vzr sn. Kwanini wafe?
haya unayo leta kwangu ni mapya kabisa.
huwenda ni ivivu wangu katika kujisonea
Swali. je? captain aliokolewa kati ya watu walio patikana wakiwa salama?
Walikua wakiawaacha wanaume makusudi kwasababu walikua wakitaka watu Fulani wafe!
nakumbuka wakati meli inazama nilikuwa london nafanya shoo
Na kwa nini mpaka leo haijatengenezwa meli nyngne kubwa kama hyo?
Inawezekanna kulikuwa na conspiracy mkuu! afu je rubani alikufa u aliokolewa? na kwanini meli iliyokuwa karibu ilikataa kutoa msaada!? na hilo jiwe la dhahabu lilipatikana au halikupatikana!? just curious tu..
Inawezekanna kulikuwa na conspiracy mkuu! afu je rubani alikufa u aliokolewa? na kwanini meli iliyokuwa karibu ilikataa kutoa msaada!? na hilo jiwe la dhahabu lilipatikana au halikupatikana!? just curious tu..
Na kwa nini mpaka leo haijatengenezwa meli nyngne kubwa kama hyo?
haya unayo leta kwangu ni mapya kabisa.
huwenda ni ivivu wangu katika kujisonea
Swali. je? captain aliokolewa kati ya watu walio patikana wakiwa salama?
Inawezekanna kulikuwa na conspiracy mkuu! afu je rubani alikufa u aliokolewa? na kwanini meli iliyokuwa karibu ilikataa kutoa msaada!? na hilo jiwe la dhahabu lilipatikana au halikupatikana!? just curious tu..
Captain alikufa mkuu kwasababu sheria za baharini zinasema captain anatakiwa kuwa wa mwisho kutoka so atakua na kazi ya kusimamia zoezi la uokoaji.waliopona walikua ma injinia na crew wengine ndio waliokua wanaweza kusoma nyota usiku na kujua directions za wapi wanaelekea ni elimu inaitwa astronomy mabaharia wanafundishwa hiyo dhahabu hawakuipata ila wale reseachers wakaamua kutengeneza movie na ikatengeneza pesa ya kutosha na kupata awards nyingi.Yule mfanyabiashara aliyekua anataka kumuoa rose dowson badae great depression ya mwaka 1922 ilimkumba biashara zikafa akaamua kujitoa uhai kwa kujipiga bastora
Wakuu heshima yenu...
Leo kwa bahati nimepata nafasi ya kurudia kuangalia hii filamu ya hii meli kubwa iliyozama enzi hizo. Mara ya kwanza niliangalia nikiwa mdogo kiumri! Sasa leo katika kuangalia nimekuwa na maswali machache ambapo ningeomba kusaidiwa majibu yake kwa wenye ufahamu wake. Maswali yenyewe ni
1.Je ni kweli hii meli ilizama kiuhalisia au ni story tu?
2.Je! Kipindi hicho hakukuwa na mawasiliano ya kuja kuokolewa?
3.Je ile Iceberg ilitokea vp katikati ya bahari?
4.Kama ni kweli ilizama ilikuwa miaka gani na watu wangapi walipoyeza maisha ba wangapi waliokolewa!?
5.Je hiyo meli ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi?!
Natambua maswali mengine naweza google but nataka majibu ya hapa ili wafaidike wengi hivyo kama hauna majibu kuwa msomaji tu usilete kejeli hapa na kama kuna mwingine mwenye maswali aongeze hapa ili tupate majibu.
Natanguliza shukranu zangu za dhati.
Na kwa nini mpaka leo haijatengenezwa meli nyngne kubwa kama hyo?
Swali la kwanza meli ni kweli ilizama na ilikuja kugunduliwa baada ya madalali kugundua kulikua na jiwe kubwa la dhahabu mali ya benki flani lilizama so walitaka kwenda kulichukua ili wakaliuze ndio wakaona ile picha na kuamua kutangaza kwenye tv kama kuna mtu yeyote aliye hai anayejua kuhusu ile meli ndio wakampata yule bibi
Swali la pili Mawasiliano yalikuwepo ni mfumo wa zamani wa mawasiliano unaitwa MOZE CODE nijui kama nimekosea spelling na wale jamaa walipiga simu kwa meli ya jirani lakini ile meli kwa roho mbaya ya captain ikapita ila baadae ilitafutwa na yule captein alishitakiwa pamoja na mabaharia wake na iyo kampuni.ila kuna meli moja inaitwa MV.cathipalia ilikua inapita mbali sana ilifika eneo la tukio baada ya siku tatu na kufanikiwa kuokoa watu 500 waliojiokoa na mitumbwi ila waliwakuta wananjaa na wamechoka
Swali la tatu ile bahari inatabia ya kuwa na ice berg so enzi hizo hakukua na rada zenye nguvu kuziona so walikua wanatumia watu kukaa juu ya meli na ku spot izo ice berg ila wale jamaa walijisahau wakaja ku shtuka iko kalibu na meli ilikua speed sana kumbuka walikua wanawai sikukuuu ya xmass kawaida haikutakiwa kutembea spidi kali ila kuna matajili wali infuence so capten alikubali shingo upande akaichochea na sababu ya kutembea taratibu ni kwa ajili ya kukwepa izo ice berg.
Swali la nne inasemekana watu 1500 walipoteza maisha na 500 waliokolewa
SWALI la tano meli ilikua inatoka uingereza southapton kwenda marekani na walikua wanawai sikukuu ya xmass nazani nitakua nimekizi KIU yako kidogo kuna mengi sana nimeyaacha hapo