Titanic sunk by steering mistake, author says

faiza foxy umejibu vyema haya mambo ya rohoni yanahitaji utulivu sana.
 
Tatizo watu wanaangalia yale maigizo ya penye swimming pool ndio wanadhani ukweli halisi.FaizaFoxy kaelezea uzuri kabisa na katoa link hapo ili mzidi kupata ukweli ahsante FaizaFoxy.
 
Kuzama kwa limeli hili ni mchezo ulotengenezwa barabara, kwa lengo na makusudio yake, ukisoma katika machapisho mbali mbali, meli iliyotumika sio meli iliyokusudiwa, walitumia meli nyingine, ukiangalia hata nahodha wa titanic hakufa kwenye ajali kwa maana meli yake haikusafiri wala wafanya kazi wengi wa meli husika, palikuwa na change over usiku ule wa meli kuondoka na ilikuwa ni makusudi kabisa hata zile shehena za dhahabu hazikuwa kwenye meli ilopata ajali, nahodha alipewa ramani ya safari yenye lengo la kumpeleke kwenye miamba ya barafu ili wapotelee huko, ukiangalia kwenye manifesto original ya meli watu wengi tu wako hai, hawa ni wale ambao walitolewa kimya kimya kabla ya safari na wengine walitengenezewa mazingira ya kushindwa kusafiri. Ile meli original ilibomolewa na vyuma vyake katika tons of tons kuuzwa china kama chuma chakavu.
 
kuzama kwa titanic ni baada ya meli kugonga mwamba wa barafu. lakini chanzo halisi hakuna anae jua japo kuna conspiracy theorist wana link kuzama kwa titanic na jesuit. kwani mnamo mwaka 1910 kamati ya watu saba walikutana ktk kisiwa fulani kwa lengo la ku establish private federal bank ya usa na kulikuwa na watu wanaopinga kuanzishwa kwa private central bank in america watu hao walikuwa ni matajiri wa kubwa ambao hawakuwahi kuwapo duniani na jesuit wanalaumiwa cz they invite All the wealthy and powerful men the Jesuits wanted to get rid of were invited to take the cruise. Three of the richest and most important of these were Benjamin Guggenheim, Isador Strauss, the head of Macy’s Department Stores, and John Jacob Astor, probably the wealthiest man in the world. watu hawa walipinga private central bank au federal reserve so ikabidi wapotee ili lengo litimie na kwa kuongezea inasemekana na captain wa titanic alikuwa jesuit member.
 
sababu za titanic kuzama ni papuchi
aliyezieleza ni bibi kizee aliye nusulika katika hiyo ajali

alikuwa yeye na mpenzi wake wakigegedana manahodha wakakaria kupiga chabo kumbe kwa mbali kulikuwa na mwamba mkubwa wa barafu
wakawa wamechelewa kuuona nahodha mkuu akasema waekwepe lakini ikawa too late walipo ugonga meli ilipasuka kwa chini
waliokuwa wanagegedana ni hawa






Meli yenyewe ni hii hapa chini




 
Nimeona comments 2 tu. Wengine someni kitabu kinaitwa the secret terrorist. Filamu ni maigizo ambayo yanaweza kukusudia kupptosha ukweli, kuzielewa unahitaji kuielewa fasihi pia.
 
Punguza spidi bibi,white star shipping co hawakuwai kuiita hiyo meli unsinkable,waliotoa hilo jina ni waandishi wa habari wakati wa press conference walisema mbona life boats zimewekwa chache sana kulinganisha na idadi ya watu?ndio waka conclude kua she ia unsinkable.

This is the problem with people of faith,everything happens= God caused it.hata mtu akilewa akaendesha akaua watu barabarani watasema mipango ya mungu wakati jibu hapo ni ulevi tu.

Na kwanini mungu akawaua watu 1500 waliokua hawajamkufuru?sababu unasema waliotengeneza ndio walikufuru.
 
I
 
Blah blah blah blah


Official report inasema kua sababu zilizosababisha hiyo meli kuzama ni ribbits(mafundi magari mnanielewa hapa).
Zile plates za nje ziliunganishwa kwa ribbits za aina mbili kuna zile za steel na zile za wrought iron ambazo sio imara sana na ndio ziliwekwa kwenye section iliyogonga mwamba.

Titanic ili designiwa na compartments 16 katika hizo nne zingeweza kuongia maji na meli isizame ila on that fateful day compartments 6 zilikua exposed na kuingiza maji na ndani ya masaa mawili she was doomed.
Hii ndio official report ya why titanic sank:::
weak ribits katika section ya mbele ya meli.Simple and clear.

Ingawa kuna sababu nyingine pia

Titanic's bridge(inapoendeshewa meli) ilopokea maonyo mengi kuhusu uwezekano wa miamba lakini hawakupunguza speed(21 knots).Hii ilikua ni kawaida kwa kipindi hiko kua ukiwa kwenye ice field get out of there as soon as u can

Waangaliaji wa usiku hawakua properly equipped, hawakua na darubini wala vikinga macho( hii nawe wanasema kua sababu ya usiku kutokua na mwezi kwa hyo wakawa wanatazama sky kama ndio ship's horizon.) So sio kosa lao.

Na baadhi ya meseji zilozotumwa na operator zilikua wrongly formatted so they never reached the bridge.
Also she had modern radios which made difficult to communicate with other ships with low radio technology.

Operator wa radio ya meli iliyokua jirani tu(kama 20km) alienda kulala so distress signal za titanic fell on dead ears.(sasa hv imebadilishwa ni 24hrs radio inakua na mtu)

Commercial pressure ya kua on time ili wajenge jina,ndo maana ikawa ina cruise at 21 knots per hour(max speed was 24 knots kwa saa).
 
Nyinyi watu wa imani bana kila kitu kikitokea mnasingizia Mungu...vitu vingine hausiki ni ajali tu za kawaida
 
uko serious au unazingua.? Mbona unapost picha za movie wewe
 
Mwaka 1912 waliozama wanaokolewa, sisi leo hii hatuna uwezo wa kuokoa hata aliyeanguka na baiskeli. Shame upon us.
Mmmh!Hapa umezidisha chumvi wa baiskeli hata awe mnene kiasi gani ananyanyuliwa anakimbizwa hospitali ikibidi!
 
Nmekidownload hcho ktabu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…