Chifunanga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 290
- 102
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.
Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL EMAIL.
Hawana PR (public relation person), ingawa Nzoka sijui nani alijaribu kufanya kazi hiyo kile kipindi Dr Wa ukweli alivyokuwa anatafuta Wachakachuaji.
Yaani ukitaka kusikia chochote kuhusu hawa Jamaa, ni lazima uje JF, ambapo pia story nyingi ni story tu na hazina ukweli.
Hata kwenye hii BUDGET sijasikia kipengele kilichotengwa kwa TISS......hivi POSHO zao nao wanakatwa?.....hivi kuna KIKAO cha BUNGE cha kuwadiscuss hawa jamaa.....mwenyekiti wake nani?
Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.
Wadau mnaonaje?