TISS, shirika bora la kijasusi Africa.

TISS, shirika bora la kijasusi Africa.

TISS Nalipenda ila tu kunavitu uku mtaani adi leo bado tunajiuliza (1)Yule jamaa aliemtolea bastora Nape Mnauye uku mtaani watu wanadai eti afisa wao na PT walishasema awamjui? Je? Kwanini Tiss wasingeingia kazini ili kumkamata na kuikabizisha kwa PT?
 
Kwa Afrika, Ujasusi wa "Kidola", Tanzania ndio mwamuzi wa siasa za Afrika. Hil linatazamwa tangu vuguvugu la uhuru wa Afrika mpaka kunako Karne ya 21. Kwa lugha laini ni kuwa TISS ndio idara yenye nguvu Afrika katika medani ya Ujasusi wa Kidola.

Kwa mujibu wa Takwamu za mwaka 2014, zilizotolewa na mtandao wa onlinenewspoint.com, Orodha ya Mashirika Kumi Bora ya Ujasusi Duniani ni kama ifuatavyo:

-Inter Service Intelligence (ISI) la Pakistan;

-Central Intelligence Agency (CIA) la Marekani;

-Secret Intelligence Services (MI6) la Uingereza;

-Ministry of State Security (MSS) la China;

-Federal Security Services (FSB) la Urusi;

-The Institute For Intelligence and Special Operation (MOSAD) la Israel;

-Direction Generale De La Securite Exterieure (DGSE) la Ufaransa;

-Canadian Security Intelligence Service (CSIS) la Canada;

-Research and Analysis Wing (RAW) la India;

-Australian Secret Intelligence Service (ASIS) la Australia.

Katika Afrika, hakuna takwimu muafaka zinazoainisha lipi shirika bora la ujasusi lakini mtandao wa africaintelligence.com unaojihusisha na habari za kijasusi, mwaka 2015, ulizua mjadala wa kijasusi ambapo jasusi mstaafu, Lizo Gibson Njenje wa The National Intelligence Agency (NIA) ya Afrika Kusini alisema SASS (South African Secret Service) ndiyo shirika bora akitumia kigezo cha ukubwa wa bajeti yao kwa mwaka.

Hata hivyo, hoja hiyo ilipingwa vikali na wadau kutoka nchi za Morocco, Ghana na Misri. Kwa pamoja wakakubaliana kutumia vigezo viwili vikuu: misheni ilizoshiriki idara husika; na majaribio ya mapinduzi kwa viongozi wa ndani hasa yale yaliyoshindwa kufanikiwa baada ya zuio la nguvu za shirika/idara husika. Idara ya ujasusi (TISS) ya Tanzania ilitajwa kuwa ya kwanza, ikifuatiwa na CIO (Central Intelligence Organisation) la Zimbabwe, DST (Direction de la Surveillance du Territoire) la Morocco, GID (General Intelligence Directorate) la Misri na SASS la Afrika Kusini.

Pia, kwa upande wa Jeshi bora na lenye nguvu Barani Africa, mwandishi wa habari za kijasusi, Micky Wren, katika andiko lake la kitafiti la mwaka 2015 aliloliita 35 Most Badass Fighting Units From Arround the world ameorodhesha kikosi hatari Afrika kiitwacho Koboko (black mamba) kilicho chini ya Jeshi la Tanzania, JWTZ, katika orodha hiyo kikosi hicho kipo nambari 27 ya vikosi kazi bora kabisa duniani, huku nambari moja ikishikwa na US Navy SEAL ya Marekani.

Takwimu hizi zinaitambua JWTZ kuwa ndio kikosi bora namba moja Afrika. Pamoja na changamoto za ndani hasa ujio wa mfumo wa vyama vingi, ambapo siasa za vyama kupewa kipaumbele cha taifa, na kuporomoka kwa Maadili ya Taifa na hasa mvurugano wa elimu ya Tanzania, bado TISS ni chombo madhubuti na ina watu makini sana. Zaidi, TISS imekuwa mkufunzi imara wa taasisi na idara nyingi za ujasusi barani Afrika.......

Soma kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.......

Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ni 80,000/= tu.

Piga simu 0715865544 au 0755865544 popote ulipo utaletewa...

Source: Yeriko Nyerere
Ilikuwa zamani mkuu, sasa hivi hakuna lolote, ccm imewavuruga baada ya kuingiza siasa.
 
Mpaka leo mwenye fiches vya treni bandarini hajulikani....
Hongera Yao

Ova
 
Hii mada niliiamini mwanzo ila ilivyofika chini nikakosa imani nayo kutokana na source yenyewe.
 
Labda a
Yaani TISS ya zimbabwe ndio ya pili afrika??? Basi huo utafiti nimeupuuza tayari!! Nchi imevurugwa ile na wazungu baada ya kuwekewa vikwazo hata pesa ikashuka thamani hao TISS ya zimbabwe walishindwa kushauri ili kuepuka hiyo dhahama mpaka leo hii wananchi wanateseka kiasi kile

Hii ranking ya ajabu sana.....
Labda wanapima kwa kigezo cha kuangamiza wapinzani
 
Hiyo 2014 kwa nna uhakika kwa sasa 2018 hiyo TISSA imeachwa mbali sana na Dada ake KIMAMBI
 
Ngoja nisome upya labda kuna Tanzania mbili dunia hii.

labda iyo TISS ni ya tz nyingine.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
But why Tanzania why
 
hiihii Tiss ya bashite? hii hii Tiss inayolaumiwa kwenye kuchuja na kupata viongozi sahihi? hapana aiseee
 
Back
Top Bottom