Mkuu Ahsante kwa kuniamsha TOKA USINGIZINI Sikuwa ninajua hilo!.Kulikuwa kuna KGB, stasi ya GDR na securitate ya Romania zote zikiwa na lengo la kuhakikisha mtawala anatawala milele. Yaani watu walikuwa wanaogopa kutoa maoni huru hata kwa wenzi wao.
Hazikuweza kuhimili upepo wa mabadiliko zilikufa na taarifa za jinai zao ziliwekwa hadharani.
Tusubiri kuona mwisho wa harakati za kisiasa za TISS.
Asanteni kwa kunisamehe.
Kwangu mimi ni uongo.Je kwako?Kwani uongo?!
Inategemea ni nini wachokitafanya.Kwamba tiss inaegemea upande wa Chama tawala
How/ kwa namna gani kwa mfano?Kwamba tiss inaegemea upande wa Chama tawala
It might sound a crap to you. But to others,and probably majority this could be the opposite side of the coin /Inakutegemea wewe mwenyewe mkuu!This is just crap.
AssumptionsKulikuwa kuna KGB, stasi ya GDR na securitate ya Romania zote zikiwa na lengo la kuhakikisha mtawala anatawala milele. Yaani watu walikuwa wanaogopa kutoa maoni huru hata kwa wenzi wao.
Hazikuweza kuhimili upepo wa mabadiliko zilikufa na taarifa za jinai zao ziliwekwa hadharani.
Tusubiri kuona mwisho wa harakati za kisiasa za TISS.
Asanteni kwa kunisamehe.
Your hyperbolic language such a word word" WFK", Defines your ignorance and obnoxious kind of reasoning!!!..WTF? Damn that idea and the way you think! That's what I can say!
Don't be naïve and narrow minded, what security are you referring to?
Eti usalama wa taifa wasio weza kutofautisha kati ya taifa na CCM.Aweke kwa kiingereza hili ni jukwaa la waingereza? Humu ndani lugha yoyote inakubaliwa kasoro matusi. Ni hv hao Tiss mchango wao unafahamika zaidu kwa familia zao kuliko kazi walizoomba kuzitekeleza. Mikataba yote ya siri isiyo na tija imepita mbele ya macho yao, na kama sio wanasiasa wa upinzani tusingejua lolote. Kikubwa kinachofanywa na hao jamaa ni kutisha wanaohoji na kuua vyama vingine ccm Iendelee kubaki madarakani. Sasa hiv ni ngumu kutofautisha tiss na ccm.
Absurd...It must reach a time when we should refrain from discussing this important state organ in public. Their modus Operandi doesn't allow them to share what they know in public and in that case, we will always be left with unmet curiosity even if we happen to live for 200 years.
With all due respect, KGB is a russian intelligence agency and not belong to tz.Ni KGB hiyo, lakini haitashinda utashi wa umma.
Zipi hizo mkuu? badala ya kujumlisha kwa ujumla?Kulikuwa kuna KGB, stasi ya GDR na securitate ya Romania zote zikiwa na lengo la kuhakikisha mtawala anatawala milele. Yaani watu walikuwa wanaogopa kutoa maoni huru hata kwa wenzi wao.
Hazikuweza kuhimili upepo wa mabadiliko zilikufa na taarifa za jinai zao ziliwekwa hadharani.
Tusubiri kuona mwisho wa harakati za kisiasa za TISS.
Asanteni kwa kunisamehe.
UONGO mkuu!Kwani uongo?!
Toa mifano na data.Kwamba tiss inaegemea upande wa Chama tawala
Define please!Much respect. However TISS is overtaken by political mediocrity.
Urusi ilikuwa nchi ya shirikisho yenye States nyingi huru kama USA ambazo zimeungana zenye madaraka kamili zenye Uhuru wa kupiga kura kuamua kuwa wanataka kuendelea kuwa chini ya shirikisho la USSR au la.KGB lilikuwa shirika la kijasusi la shirikisho ambalo lilikuwa Na branches za Kila Jimbo lililokuwa shirikisho ambao maafisa wa KGB Jimbo hawakuwa chini ya payroll ya KGB Taifa.Hivyo kama Jimbo yaani state iliamua kujitenga waliondoka Na Branch yao ya KGB usilinganishe Na Tanzania au china.Tanzania ni mziki mwingine.Nchi zote za ulaya mashariki za GDR,Rumania , Yugoslavia nk zilikopi mfumo wa USSR ndio maana ilikuwa rahisi kusambaratika.Tanzania tumeiga mfumo wa China sio rahisi unavyofikiri revise your notesKulikuwa kuna KGB, stasi ya GDR na securitate ya Romania zote zikiwa na lengo la kuhakikisha mtawala anatawala milele. Yaani watu walikuwa wanaogopa kutoa maoni huru hata kwa wenzi wao.
Hazikuweza kuhimili upepo wa mabadiliko zilikufa na taarifa za jinai zao ziliwekwa hadharani.
Tusubiri kuona mwisho wa harakati za kisiasa za TISS.
Asanteni kwa kunisamehe.
The gov , especially the president has shut them down, disarm them and decide to use them for his own political games.All nations are built by heroes
Heroes who agree to be at the sideline of history.Fallen heroes whose name and praises can never be celebrated.People whose identity shall go into oblivion.
I am looking at the Tanzanian Intelligence Agency with their marvel and outstanding performance and I am left with only one question....What is their role in whatever is going on now.
Yes.As a nation we are at the point where everything is not what it is nor what it seems to be and people need answers to questions that should never have been asked in the first place.
My question today is on the role of our security machineries in the current political conondrum
I remain to be corrected
PBK
Acha tumusadie huyu jamaa KGB imekuwa replaced na "FSB" badala ya KGB.Urusi ilikuwa nchi ya shirikisho yenye States nyingi huru kama USA ambazo zimeungana zenye madaraka kamili zenye Uhuru wa kupiga kura kuamua kuwa wanataka kuendelea kuwa chini ya shirikisho la USSR au la.KGB lilikuwa shirika la kijasusi la shirikisho ambalo lilikuwa Na branches za Kila Jimbo lililokuwa shirikisho ambao maafisa wa KGB Jimbo hawakuwa chini ya payroll ya KGB Taifa.Hivyo kama Jimbo yaani state aliamua kujitenga waliondoka Na Branch yao ya KGB usilinganishe Na Tanzania au china.Tanzania ni mziki mwingine.
If so according your statement then you are lying!The gov , especially the president has shut them down, disarm them and decide to use them for his own political games.
But again that my theory, it maybe true or not
Ushauri wa bure kwake aache kuangalia movie Na novels za kijasusi za wazungu Na akina Yeriko Nyerere .movie Na novels huwezi pata vitu halisia sababu ni fiction not realityAcha tumusadie huyu jamaa KGB imekuwa replaced na "FSB" badala ya KGB.